Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Niliwai kuacha pombe kwa miezi minane ,hakika sikuwa na hamu hata kidogo miezi 7 ya mwanzo....mwezi wa nane siku moja usiku nimelala nilistuka usingizini na kupata hamu ya ajabu sana ya pombe...kesho yake nikamwambia wife kuwa nina hamu ya ajabu.....sikunywa lakini...mwezi huo huo nilijikuta nimelewa kwenye sherehe ya rafiki yangu.......aisee mpaka leo sinaga la kusema yani....
 
Nimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
nyeto hakikisha hukai mbali na dem kwa mrefu inasaidia, mi nmepiga punyeto miaka kumi lkin baada ya kukaa karibu na manz kwa kipnd flan niliacha kabisa ila sa huwa naokoa siku moja moja nikipitia huko xvideos, kwa sa niko peke ndo mana uw nakumbushia kimtindo
 
Nimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
Uwe unajipongeza kwa kupata bia 2 au tatu
 
Niliwai kuacha pombe kwa miezi minane ,hakika sikuwa na hamu hata kidogo miezi 7 ya mwanzo....mwezi wa nane siku moja usiku nimelala nilistuka usingizini na kupata hamu ya ajabu sana ya pombe...kesho yake nikamwambia wife kuwa nina hamu ya ajabu.....sikunywa lakini...mwezi huo huo nilijikuta nimelewa kwenye sherehe ya rafiki yangu.......aisee mpaka leo sinaga la kusema yani....
I like this 🤣🤣🤣🤣
 
Burudika na Dear gambe kutoka kwa "muuaji kijana"....
Ila wiki moja mkuu bado,walau hata upite hata mwezi mmoja unaweza kusa kitu.
Hata hivyo nakutakia kheri kwenye nia yako hiyo.
 
Nimeshajaribu kuacha pombe mara mbili, mara ya kwanza niliweza kwa miezi kumi. Mara ya pili nilidumu kwa miezi mitano tu.
 
Habari za jioni Wakuu..

Rejea kichwa cha habari hapo juu, ninaomba msaada wa hali na mali niweze kumsaidia ndugu yangu ambaye POMBE inazidi kumharibia maisha yake COMPLETELY.

Tumeshazungumza naye, amefanyiwa counseling, na mengine mengi sana ila hali inazidi kuwa mbaya.

Naumia sana kila nikimuona, alikuwa na kazi nzuri sana na wadhifa mkubwa ila ameharibu.

Kila anachopata, kinaishia huko kwenye POMBE.

Wenye uzoefu na msaada tafadhali.

Maoni Yaliyotolewa:
Mkuu
Huyo ndugu yako Kwanza mkikaa nae msiwe mnamsema na kumwambia pombe inamuharibia maisha ,inammalizia hela ,hafanyi kitu cha maana na maneno mengine ambayo yeye binafs ataona kama mnamsema vibaya hapo ndyo mtampagawisha zaid

Wakat mwingine huwezi jua Nini kinamfanya anakunywa kiasi hicho yaweza kuwa ipo sababu

Mlevi mzuri Ni yule ambaye hela anaacha nyumbani na anabeba kiasi tu kidogo kile alichokadiria kwamba nikipata chupa kadhaa ndio idadi yangu

Je unajua kwamba Kila mlevi anajua Ni chupa ngapi akifika ndio stimu znapanda na anaanza anahisi burudan?

Anzeni hapo Kwanza,utanipa feedback,usitake tu vuuuuuu! Aache pombe ningumu kama unga.

ataacha mwenyewe

Ila Kila siku mkimpigia kelele hizo kelele zenu zitafanya aongeze kreti nyingine maana ataona kama mnamsema vbaya na mnamuona hafai kwenu..

Mimi binafsi nilikuwa hivyo naweza nikaenda na 5laki nikarudi mweupee(bar Kuna ushawishi na marafk wa kujuana bar tu)

But ndugu walioamua wanikazie wakaanza kunisoma saa ngapi naenda bar(huwa Ni usiku nikitoka job) hata kama hanywi ataenda pamoja na wewe ukishalewa utaskia simu na vitu vyako nipe nikushikie umelewa sana,mdogomdogo mara kabla sijaenda anakupangia ratiba,unapinga mpaka unazoea

Hapa ninapoandika uzi huu nipo home mzinga umekufa zimebaki chupa 5 za bia ndio zinanisukumasukuma kumalizia usiku maana hata bar sitaman kukaa Tena Ni kuchukua na kutulia home na ndio najua kiasi gani nilipoteza huko nyuma(pesa zangu zinaniuma zileee)

Kumuachisha mtu pombe kibabe,maneno mabaya,kumsema ovyo Ni ngumu yatakiwa hata asipoacha apunguze na awe na ratiba maalum mwishoni mwenyewe ataona Nini afanye au vipi apange kuhusu pombe

Ni kama wewe mtu akuambie usitumie simu yako sababu inakumalizia sana bando na unakuwa busy sana kuchat utamuelewa wkt umeshazoea?

Mazoea mabaya

Nendeni nae taratibu,mwisho wale waliokuwa bar wanakula hela zake utawaskia ''siku izi huonekani bro unachukua na kusepa."

Lakini haya mawazo yangu tu!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kama muhusika mwenyewe hayuko tayar itakuwa ni vigumu sana kumbadilisha
 
Back
Top Bottom