Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Mkushi Mbishi,
WE sasa ndo mnywaji...mi sielewi nikisikia pombe inamwalibia mtu maisha.....mi kwe pombe nmefanikwa kupata kazi hadi sasa meneja eneo?

kikubwa ni kujua muda gani kunywa na mda gani kufanya kazi....ulevi hata malaya, simu, umbea waweza kua ulevi....nmeelewa kwanini wazungu huwa na mini bar home...hamna pombe tamu ya kunywea nyumbani ukiwaka unalala na kiwango unakijua..nawasilisha.

Huu mwaka mzima lazima ninywe kabla ya kulala kasoro juma2 na 3 t.ila nmeanza jwnga mwezi wa nne naamia baada ya Christmas kutokana na nidhamu yangu ya pesa kwe uwekezaji kinachobaki ndo nalewa..ps ukiwa mnywaji basi hakikisha mkeo hanywi utaenjoy
 
Washamcheza huyo. Sasa fanya hiki:

Tafuta mtaalamu wa maana.

Then siku ya siku mchukue kimya kimya mpeleke.

Atatengenezwa then mchezo umeisha.

Unforgetable
 
eddyiko,
Kuna mganga yupo kigoma ametibu watu wengi wakiwemo ndugu zangu. Nimepoteza namba kwenye simu niliyokuwa natumia ila yupo. Akishindikana kwa huyo basi. Ni dawa tu wala siyo mazingaombwe. Mimi huwa nawatuma watu kwake ila sijajua huwa wanakuwaje ila wakishatumia dawa yake hawawezi tena kunywa pombe.
 
pole sana jamaa yangu kwa mkasa wa ndugu yako, lakini nachelea kupingana na wewe kusema pombe ndio imeharibu maisha ya ndugu yako.

unajua maisha yana mengi sana, shida kubwa hapa ni ndugu yako kushindwa kujitawala linapofika suala la pombe. kama ambavyo wadau wengine wanavyomaliza pesa katika dimbwi la ngono.

maandiko yanaruhusu unywaji pombe kwa kiasi, pia kwamba watu wenye huzuni na mahangaiko basi waache wapate mvinyo uwapumbaze na wafurahi[emoji847]

ndugu yetu anaweza kuwa na tatizo linalopelekea kuona pombe ndio faraja yake, labda mpweke na nk

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
eddyiko,
pole sana ndugu ila niliwahi sikia kuna dawa anapewa muhusika anakunywa na inaanza kufanya kaz akisha kunywa hiyo dawa tu kila akisikia harufu ya pombe anakua na kichefuchefu na anahisi kutapika
KMA YUPO SERIOUS NIMUELEKEZE AENDE RUNGWE YUPO MTAALAMU ATAACHA MM SHUHUDA NINA MJOMBA MTOTO WA SSTER ANGU PMOJA NA DDA ANGU DD ANGU MKUBWA KBLA AJAFARIKI ALIWAPELEKA HKO POMBE MPK KESHO WAMEACHA ILA DAWA MPK AKUNYWESHE MTAALAMU MWENYEWE
 
KMA YUPO SERIOUS NIMUELEKEZE AENDE RUNGWE YUPO MTAALAMU ATAACHA MM SHUHUDA NINA MJOMBA MTOTO WA SSTER ANGU PMOJA NA DDA ANGU DD ANGU MKUBWA KBLA AJAFARIKI ALIWAPELEKA HKO POMBE MPK KESHO WAMEACHA ILA DAWA MPK AKUNYWESHE MTAALAMU MWENYEWE

Naomba maelekezo jinsi ya kufika na mgonjwa,
 
Dawa ya mlevi anayekunywa pombe ya aina moja I mean hachanganyi pombe kali bia na wine ni NYONGO ya kuku!!!

Mnyweshe pombe ayoipenda usimpe chakula chochote asubuhi mpaka usiku akiwa amelewa Tira lira changanya Fresh NYONGO kwenye chupa yake bila kujua.

Akianza kutapika usiogope, we muache atapike mpaka uone matapishe ya njano kama kiini cha yai.

Keshoye atakua mgonjwa kwa almost three days baada ya hapo kila akisikia harufu ya pombe ni kutapika!!!

Thank me after effect
 
Habari za jioni Wakuu..

Rejea kichwa cha habari hapo juu, ninaomba msaada wa hali na mali niweze kumsaidia ndugu yangu ambaye POMBE inazidi kumharibia maisha yake COMPLETELY.

Tumeshazungumza naye, amefanyiwa counseling, na mengine mengi sana ila hali inazidi kuwa mbaya.

Naumia sana kila nikimuona, alikuwa na kazi nzuri sana na wadhifa mkubwa ila ameharibu.

Kila anachopata, kinaishia huko kwenye POMBE.

Wenye uzoefu na msaada tafadhali.

Maoni Yaliyotolewa:
MPENI MAZIWA YA MMBWA ANYWE
 
Hizo pombe zinazowaharibia maisha hao ndugu zenu ni pombe za namna gani?? Hizi hizi tunazokaa bar sisi kunywa na kupeana michongo ya pesa??? can't be seriously ,ebu mtueleze vizuri isije kuwa watu wana stress zao za maisha then wanaamua kwenda kuzimalizia kwenye ulevi hapo lazima wapotee tu.

Tuendelee kuiheshimu pombe jamani.
watu dizaini ya hao ndugu zenu ndio wanafanya wanywaji wote tuonekane hopeless.

Mkuu Mshana Jr ebu pita hapa.
 
Back
Top Bottom