Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wakuu nipeni ushauri jinsi ya kuacha pombe nimejitahidi nashndwa naona zinanimalizia hela for nothing..
Hilo jina lako tu linaonesha we na hiyo kitu ni mpaka Mungu awetenganishe!.
Subiri hang over ikiisha kagonge kongoro halafu stua kama mbili hivi za fasta wenge lote litaisha...
Jioni kama kawa mzee au siyo!?.
 
Weka nnya kwenye pombe, nakuahidi utaichukia na hutokunywa tena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Kweli wewe ni BEBERU MWITU mwenzako anaomba ushauri vizuri we we unamjibu kejeli,iko Siku nawe utajibiwa hivyo.
 
Mkuu hiyo siyo kejeli, binafsi niliacha pombe kupitia njia hiyo.
 
Weka nnya kwenye pombe, nakuahidi utaichukia na hutokunywa tena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Nnya ndio nini mkuu?
 
Inawezekana mimi nna mwaka wa 5 huu na akat nilikuwa ni pombe mtu..mtu pombe ila niliamua tuu nkaacha
Na hata kazi niliyonayo ni kishawishi cha pombe kwa 100% kila mwez huwa tunapewa creti 2 za bia.. huwa nazipiga bei juu kwa juu
 
Pombe siachi ila i need brake kwakweli, leo siku ya pili sijatoka ndani sababu ya "TUNGI" la ijumaa, kuumwa si kuumwa yani hii ni zaidi ya hangover.
 
Wakuu nipeni ushauri jinsi ya kuacha pombe nimejitahidi nashndwa naona zinanimalizia hela for nothing..
Ila huko utakapokuja kuingia baada ya kuacha ndo kuna gharama mara dufu.asikudanganye mtu binadamu kaumbwa kufanya kazi na kupumzisha akili,sasa huko kwenye kupumzisha akili kunatofautiana kati ya mtu na mtu
 
Nimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
 
Sema tuu umeishiwa huna hela wewe mi mwenyewe ni kama wewe ila nikipata hela nakunywa

Back
Top Bottom