Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Akojoe mkojo kwenye ğlass, nusu hivi, halafu achanganye na bia, kisha änywe.
Ataharisha na kutapika sana. Kila asikiapo harufu ya bia lazima atapike sana
 
Njia rahisi ya kuacha pombe ni kupunguza sifa za kijinga, wengine hunywa bia nyingi ili kuwaaminisha watu kwamba wana pesa nyingi pia ni wanywaji hodari.
 
Kama upo serious njoo pm ila kama unatania potezea[emoji120]
 
Kama yuko willing mpeleke kwenye maombezi ili Mungu amfungue toka kwenye hicho kifungo alichofungwa na shetani
 
Mchamganyie metronidazole au disulfiram kwenye pombe
 
Akojoe mkojo kwenye ğlass, nusu hivi, halafu achanganye na bia, kisha änywe.
Ataharisha na kutapika sana. Kila asikiapo harufu ya bia lazima atapike sana

Hii ni kweli???namhanga anahitaji msaada
 
Kuacha pombe sio kazi ngumu kama unavyoamini wewe.
Hao wahanga wa hizo pombe wakifata huo ushauri mdogo utawasaidia sana
Umeshauri vyema na inawezekana kabisa, nilikuwa mlevi mbwa na nikatumia almost the same approach isipokuwa hiyo ya kusoma neno la Mungu. Nadhani kwa mnywaji wa kawaida wa pombe hakuna haja ya kuacha, ila kwa walevi sugu kuacha ni lazima kwa kweli, madhara yake si haba.
 
Vipi kwa wanawake...!!
Wakina mama..
 
Pombe huwa zinatusitiri sisi tusiojua lugha za kigeni kwa ufasaha.
 
Hahahaha hakika usolijua ni usiku wa kiza.Kuacha pombe sio rahisi hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…