Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
😁😁😁😁😁Hizo pombe zinazowaharibia maisha hao ndugu zenu ni pombe za namna gani?? Hizi hizi tunazokaa bar sisi kunywa na kupeana michongo ya pesa??? can't be seriously ,ebu mtueleze vizuri isije kuwa watu wana stress zao za maisha then wanaamua kwenda kuzimalizia kwenye ulevi hapo lazima wapotee tu.
Tuendelee kuiheshimu pombe jamani.
watu dizaini ya hao ndugu zenu ndio wanafanya wanywaji wote tuonekane hopeless.
Mkuu Mshana Jr ebu pita hapa.
Uwa nakunywa ijumaa tu, ila asub uwa najisikia ovyo kabisa na kutoitaka tenaPombe ni nzuri unapoweza kui control. Pombe ukiicontroll utakunywa bia mbili kwa wiki.
Usinywe pombe ukiwa na mtongozo wa mawazo, ni rahisi pombe ikucontrol
Shida ukichanganya na miaftershave(liquor)...ni kisangaaBia ya baridi mchana wa jua kali ni tamu sana asikwambie mtu.
Kuchanganya ili iweje? Raha ya pombe ui enjoyShida ukichanganya na miaftershave(liquor)...ni kisangaa
Sky mtongozo wa mawazo huu unakuaje...labda ni mbinu mpya ya kutongoza unaweza kutusaidia madomo zege.Pombe ni nzuri unapoweza kui control. Pombe ukiicontroll utakunywa bia mbili kwa wiki.
Usinywe pombe ukiwa na mtongozo wa mawazo, ni rahisi pombe ikucontrol
Nimechapia ni msongoSky mtongozo wa mawazo huu unakuaje...labda ni mbinu mpya ya kutongoza unaweza kutusaidia madomo zege.
Bia ya baridi mchana wa jua kali ni tamu sana asikwambie mtu.
Asanteee [emoji847]Kuchanganya ili iweje? Raha ya pombe ui enjoy
Sasa huu ni ubadhirifu
Yaani wewe mimi kabisa uache pombe ili uwe mchawi sijuiHizi nyuzi za wadau kujaribu kuacha pombe huwa zinanihuzunisha sanaa. Why uache pombe??