Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

so what is the way forward ?
Uteja wa pombe hutibiwa hospitali
Screenshot_2019-12-17-17-58-37.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo pombe zinazowaharibia maisha hao ndugu zenu ni pombe za namna gani?? Hizi hizi tunazokaa bar sisi kunywa na kupeana michongo ya pesa??? can't be seriously ,ebu mtueleze vizuri isije kuwa watu wana stress zao za maisha then wanaamua kwenda kuzimalizia kwenye ulevi hapo lazima wapotee tu.

Tuendelee kuiheshimu pombe jamani.
watu dizaini ya hao ndugu zenu ndio wanafanya wanywaji wote tuonekane hopeless.

Mkuu Mshana Jr ebu pita hapa.
😁😁😁😁😁
 
Nimejitahidi mnoooo nakaa nje ya dimba hata miezi mi3 min4 nkirudi. Yaaani mpaka wana wanashangaa ... Kikubwa nna uwezo wa kujikana nkisema sili gambe kweli sili gambe ila nkirudi barabarani ni hatariii. Nnaweza kusema kweli malengo nayafikia lakini nkiyafikia tu nkifunguka ..nafunguka kweli. Nnachojishangaa ni inakuwaje nikiwa sina Kipato nnachopata natunza nafanya makubwa nikipata kipato heavy nnakiumua hatari
 
Pombe ni nzuri unapoweza kui control. Pombe ukiicontroll utakunywa bia mbili kwa wiki.

Usinywe pombe ukiwa na mtongozo wa mawazo, ni rahisi pombe ikucontrol
Sky mtongozo wa mawazo huu unakuaje...labda ni mbinu mpya ya kutongoza unaweza kutusaidia madomo zege.
 
Hii kitu mm ndio imenishinda kabisa kuicontrol licha ya kunipiga hasara za kutosha bado macho yakigongana uso kwa uso na counter na zile friji za campun udenda unanitoka balaa..

Kwa sasa nachoweza fanya nikutokunywa mda wa kazi au kwenda kupata kitimoto mda wa mchana maana nikishashiba ile kitu lazima nitafute kiyeyushio[emoji1787][emoji1787]

Vingine nmeshindwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom