BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Hakuna mlevi mnafiki na muongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mimi ni nani eti nijikute tu kuacha pombe [emoji847]Shunie pombe ni "unachwable" ona hata huyu mtumishi wa Mungu anatuliza kiu na mnyama chuiView attachment 1302048
Beer tamu bwana haswa kikiwa cha baridiiii
Shida yangu mi nimeshindwa kuacha soda. Nilijaribu kuikana ili niwe nakunywa maji tu ila sikumaliza hata mwezi. Msaada wakuu.
Kila kitu ni sababu.
Hujapata sababubya msingi basi huwez kuacha.
Ila kuachika inaachika vizuuuuuri kabisa
Kabisaaaa.Kwa kweli. Sababu ya msingi ikiwepo Kuacha inawezekana. Ila kwa sasa. Tunywe kistaarabu
Hahaha wanachama katika ubora wenuYaani wewe mimi kabisa uache pombe ili uwe mchawi sijui
sasa nmetoa post Kwan lazima niseme ushauli wakuacha pombe ? Nkisema ushauli na maelezo yake hujaelewa tuu ? Unajitoa akili mkuu.Unaomba ushauri wa kufanya nini?
Siku nyingine, tueleze unayofanya, tuombe tuchakate kutokana na uzoefu kisha tukushauri kama uko kwenye raiti traki utembee kifua mbele AU ubadili traki.
We kama umejua si sawa, itafute SAWIA
Usinitafutie BAN dogo, umri ulioutaja nilikuwa nao kabla Facebook haijaanza.sasa nmetoa post Kwan lazima niseme ushauli wakuacha pombe ? Nkisema ushauli na maelezo yake hujaelewa tuu ? Unajitoa akili mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuelewa lakin usitake sifa mkuuUsinitafutie BAN dogo, umri ulioutaja nilikuwa nao kabla Facebook haijaanza.
Nna security Kali mkuu labla iwe vipiSiku wakitatua rinda utaaacha.