baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,580
- 1,773
AsantKunywa pombe usiambiwe na mtu acha pombe ukaacha, bado utarudia, kunywa hadi we mwenyewe uache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsantKunywa pombe usiambiwe na mtu acha pombe ukaacha, bado utarudia, kunywa hadi we mwenyewe uache.
Sent using Jamii Forums mobile app
haujui pesa inapatikana wap mkuu ?Kabla sijakushauri naomba nikuulize kwamba, fedha unapata wapi..??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]Usinitafutie BAN dogo, umri ulioutaja nilikuwa nao kabla Facebook haijaanza.
Nmekuelewa[emoji120][emoji120][emoji120]Ujifunze kuweka R kwenye uandishi wako..wengine wachaga hatutumii L
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia nyingine ya kuacha ni kuwa na patner mke/mme ambaye hatumii kabisa. Mimi huwa natumia ila wife hatumii,na hatuishi pamoja kutokana na kazi,sasa nimegundua nikiwa peke yangu nakunywa muda mwingi. Wife hapendi harufu kabisa sasa nakuwaga najicontrol sana tukiwa wote,mpaka kuna wakati nakuwa kama nimeacha ila nikirudi kazini naanza tenaKunywa pombe usiambiwe na mtu acha pombe ukaacha, bado utarudia, kunywa hadi we mwenyewe uache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fainali uzeeni mtakapopata matatizo yasiyotibika ya ini
Kuna kampani hata akikosa atanunuliwa, huwezi kukosa za bia mbili tatu kwa wikimwache aendelee siku atakayokosa hela ya pombe ndipo ataacha
Safiii sanaNiko napambana kuacha siku ya 51 Leo naona kama kuna mafanikio. mimi niliamua tu kuichukia Pombe. imenipotezea mengi mno kama sio pombe hata leo singekua nina type hapa
Tukisha punguza inakuwaje sasa au ndo hatufiii [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mfano "Pombe,sigara na Soda ni mojawapo ya vitu vinavyolitafuna Taifa pole pole,ingawa wengi wetu tutumiapo tunadhani ni sehemu ya maisha,ufahari na mazoea"
Tunywe maziwa,tufanye mazoezi na kupumzisha miili yetu.