Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Njia rahisi ya kuacha pombe ni kujitenga na marafiki walevi pili kama una familia jiweke karibu nayo kuliko mwanzoni mweleze mkeo nataka kuacha pombe atakupa ushirikiano wa kutosha kwani huwa wanakereka sana tunavyorudi usiku wa manane.Ila kubali kukashfiwa na marafiki kuwa mke kakutawala utakapojitenga nao(kama upo pembezoni ya mji anzisha ufugaji hata wa kuku mifugo itakuweka busy mda wa jioni na hutapata mda wa kupanda kwenye stuli ndefu.
ukifika baa usininunue, hiyo ndiyo dawa pekee.wana jf mnisaidie kwa hili kwa anayefahamu dawa ya kuacha kunywa pombe aina yoyote,nimeanza kunywa pombe tangu nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi mwaka 1996 mpaka sasa,nimejaribu sana kuacha lakini imeshindikana,je kuna dawa maalumu?
hamia mtaani ninaoishi mimi uone kama hatutalala kwa sababu ya mapombe yako!Ukiipata hiyo dawa niambie na mimi pa kuipata maana, maana ulevi wangu umekuwa kero kwa jamii nzima na aibu kwangu.
Nikilewa mtaa mzima hawalali, natukana, napiga kelele, mlingoti nausimaisha kisha natembea uchi mchana kweupeeeee
nimeshinda JF nikiwa home, sasa niko bar na Bia ya 6 lakini bado naendelea kusoma threads mbalimbali JF.
joel amani Dawa yaKucha kunywa Pombe siku ukiwa umelewa kama yupo Mama yoyote yule anaye nyonyesha mwambie akutilie Maziwa yake kidogo kwenye Pombe yako ukinywa ntu ndio itakuwa wewe ni mwanzo na mwisho wa kunywa hiyo Pombe.wana jf mnisaidie kwa hili kwa anayefahamu dawa ya kuacha kunywa pombe aina yoyote,nimeanza kunywa pombe tangu nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi mwaka 1996 mpaka sasa,nimejaribu sana kuacha lakini imeshindikana,je kuna dawa maalumu?
Bujibuji Dawa ingine ya kuacha kunywa Pombe mtafute Muislam yoyote yule aliyekwenda Maka kuhiji anayo maji ya Zamzam ayasomee dua kisha akupe unywe hutakunywa tena wewe hiyo pombe.Ukiipata hiyo dawa niambie na mimi pa kuipata maana, maana ulevi wangu umekuwa kero kwa jamii nzima na aibu kwangu.
Nikilewa mtaa mzima hawalali, natukana, napiga kelele, mlingoti nausimaisha kisha natembea uchi mchana kweupeeeee
dawa ya kuacha pombe nikuamua kuacha lol
Ukiipata hiyo dawa niambie na mimi pa kuipata maana, maana ulevi wangu umekuwa kero kwa jamii nzima na aibu kwangu.
Nikilewa mtaa mzima hawalali, natukana, napiga kelele, mlingoti nausimaisha kisha natembea uchi mchana kweupeeeee