Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

hakuna cha mungu, mungu hakataz pombe tu. hata umalaya, wizi kitimoto, dhulma mbona vyote hivyo havisemwi...pombe ina immediate impact kwako ma jamii....mfano budget, utomvu wa nidhamu mf kukosa busara nk

hauwezi kuwa haujalewa! jamaa anataka msaada aache pombe sasa watu wanamshauri awe karibu na mungu wewe unaleta habari zako, amini kama utakuwa karibu na mungu kikweli basi utaachana na maovu na machafu ikiwemo pombe
 
Ni miaka zaidi ya kumi na tano kila nikijaribu nashindwa!!!
Great thinker what can i do so that never and never take in any alcoholic drink!!!!!

Lile zuri nilipendalo silitendi,Lile baya nisolipenda ndio natenda!!!!!!!!!!
ni pm ntakusaidia
 
jiwekee dozi ya vidonge uwe unameza kila siku. Ata miezi miwili. Hii itasababisha usiwe unakunywa popmbe
 
Mimi nimeacha pombe jamani. Namshaur jamaa inawezekana sana. Kujitambua tu kuwa pombe haikufai huo ni ushindi kabisa
 
Ni miaka zaidi ya kumi na tano kila nikijaribu nashindwa!!!
Great thinker what can i do so that never and never take in any alcoholic drink!!!!!

Lile zuri nilipendalo silitendi,Lile baya nisolipenda ndio natenda!!!!!!!!!!
......fanya kama ulivyoanza ndio utakavyoacha......
 
pombe pombe ukizidisha inakuwa noma.....anza kuvuta bange automaticale uta switch off pombe!
 
hakuna cha mungu, mungu hakataz pombe tu. Hata umalaya, wizi kitimoto, dhulma mbona vyote hivyo havisemwi...pombe ina immediate impact kwako ma jamii....mfano budget, utomvu wa nidhamu mf kukosa busara nk

mkuu pombe haiondoi busara kwa kila mtu hapo napingana na ww wazi wazi pia utovu wa nidhamu watu wanakunywa pombe kwenye sherehe kubwa na bado wana present vitu vya maana kuliko unavyofikiri. Ni nyang'au wachache tu wanaharibia wenzao.
 
Alcoholics Anonymous (A.A) ni ushirika wa wanaume na wanawake ambao wanashirikiana ujuzi, nguvu na matumaini kati yao ili waweze kutatua matatizo yao na kusaidia wengine kupona ulevi.

Sharti pekee la uanachama ni nia ya kuacha ulevi. Hakuna ada ya kuwa mwanachama wa A.A, tunajitegemea wenyewe kwa michango yetu wenyewe. A.A haifungamani na madhehebu yoyote ya dini, siasa, shirika au taasisi na haitaki kujiingiza katika mabishano yoyote. Kadhalika A.A haiungi mkono wala kupinga chama chochote.

Nia yetu ya msingi ni kukaa bila kulewa na kuwasaidia walevi wengine kufikia hali hiyo.

Kwa mawasiliano: +255 789 78 05 29
 
mkuu pombe haiondoi busara kwa kila mtu hapo napingana na ww wazi wazi pia utovu wa nidhamu watu wanakunywa pombe kwenye sherehe kubwa na bado wana present vitu vya maana kuliko unavyofikiri. Ni nyang'au wachache tu wanaharibia wenzao.

OK, si kila mtu anayekunywa pombe lazima afanye mambo mabaya, kitaalum kuna makundi 3 ya watumiaji wa pombe 1: SOCIAL DRINKERS awa ni wanywaji wastaarabu, 2: PROBLEM DRINKERS awa ni wanywaji ambao mara moja moja kila akitumia anafanya mambo mabaya, 3: ALCOHOLICS awa ni WALEVI SUGU ambayo kila akinywa pombe tu yaani ile kugusa tu mtu huyu HAWEZI KUTAWALAWA MAISHA YAKE yaani pombe inamtawala (POWERLESS OF ALCOHOL)
 

" Wine is a constant proof that God loves to see us Happy."

Ni dawa za kulevya tu ndiyo huwa vigumu kuacha ndo maana Kuna utitiri wa rehabs na sijui sober houses labda na Nyeto nayo ina create addiction.

Hivyo basi anza kukwepa ku-hang out na walevi wanzako then with time mambo yatakuwa poa.

Kama Nyerere(just a politician) alifanikiwa kugomesha watu kunywa bia na wakatekeleza wewe unashindwaje kuacha kwa hiari yako?
 
1.Anza kuhudhuria nyumba za ibada ikiwezekana uende sambamba na ratiba zote za katikati ya wiki
2. Anza shughuli ya ujenzi kwa kushirikiana na mkeo yaani mnakaa chini na kuamua nini cha kufanya kisha mnaanzisha ujenzi na kuhakikisha malengo yote mliyojiwekea mnayatekeleza hivyo utajikuta kila cent unayoipata unawekeza kwenye ujenzi.
Wakati mwingine watu tunakunywa pombe au tunakomaa na aina flani ya starehe kutokana na kutoiwekeza hela kwenye shughuli yoyote ya maendeleo ambayo itakufanya udaiwe hela kila mwezi, pia chagua marafiki hata kama ni wanywaji wenzako lakini mwisho wa siku mnajadiliana other issues za maendeleo

Vinginevyo kwa kugundua kwako tatizo inamaanisha mafanikio ya kuacha pombe yameanza kuonekana
 
Ni miaka zaidi ya kumi na tano kila nikijaribu nashindwa!!!
Great thinker what can i do so that never and never take in any alcoholic drink!!!!!

Lile zuri nilipendalo silitendi,Lile baya nisolipenda ndio natenda!!!!!!!!!!

Mpaka sasa umeshapona mkuu maana tayari umeshagundua tatizo ambalo lipo hapo mstari wa mwisho, ni kuhamia kwenye kutenda yale ambayo unayapenda kwa nguvu zote ikiwezekana kuwashirikisha watu wako wa karibu
 
Ha ha ha.. Mkuu rahisi tu mbona.. Piga maji yako siku moja mpaka udondoshe gari.. Halafu uwe maeneo ya pale kwa Mtogole.. Pombe zikikata na fahamu kukurudia na kuona yaliotokea hutakaa uguse tena pombe maishani lol.
 
Ukiweka dhamira inawezekana, kuanzia hivi sasa jiambie mimi na pombe basi na kila unaposikia hamu jikaze ukiweza kupitisha wiki moja utaona mabadiliko.

Kama uliweza acha ziwa la Mama pombe kitu gani bana
 
Kunywa pombe kupindukia aidha leta fujo au ukumbwe na maswahiba ambayo yatakuweka aidha very depressed au bankrupt kabisa na ujutie kweli kweli. Hapo unaacha bila kuuliza kwa kuwa hamna dawa ya kuacha ikiwa everything is constant yaani k au c kama wanavyosema wanasayansi. No change if everything is constant. Mi nafikiri hivi kwa kuangalia ndani na nje ya box.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…