Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wewe utakuwa mshabiki wa yanga, unapunguza stress kwa pombe? Ebo hama litimu hilo litakuua njoo stress free zone Msimbazi FC.
 
wadau nilikia naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia niache bia manake nimekua addicted sana siwez lala bila kugonga hata bia nne naona kama zinanimalizia hela! please guys i am serious
 
wadau nilikia naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia niache bia manake nimekua addicted sana siwez lala bila kugonga hata bia nne naona kama zinanimalizia hela! please guys i am serious

wenzio tukinywa tunapata more deals more pesa; anyway, hamia kwenye viroba maana kuacha ghafla ngumu!
 
wadau nilikia naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia niache bia manake nimekua addicted sana siwez lala bila kugonga hata bia nne naona kama zinanimalizia hela! please guys i am serious
Nenda kanisani kaombewe, ili huyo pepo wa kilevi akutoke, katika jina la Yesu.
 
wadau nilikia naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia niache bia manake nimekua addicted sana siwez lala bila kugonga hata bia nne naona kama zinanimalizia hela! please guys i am serious

Mwenzio ndio nalindwa na walinzi hapa Dom kwa bill yangu! Cha muhimu kuwa na discipline ya pombe, kunywa lakini usijisahau wewe ni nani uko wapi na unafanya nini?!!!! Ni muhimu mno
 
Kuna ka ugonjwa kanaitwa alcoholism... Jaribu kupata ushauri wa wana saikolojia ikiwa ni pamoja na kupewa vidonge vya kuacha pombe... Ukinywa hizo pills ukiona pombe au sigara unahisi kichefu chefu. Pia zingatia ushauri wa kiimani uliopewa hapo juu wa kuombewa kwa jina lipitalo majina yote (Yesu Kristo).
 
Iambie ukweli tu! "Pombe Sikutakii" itajikataa... Kwann mmeanza lini MAHUSIANO??
 
Endelea tu,, utakapokutwa siku umevuliwa nguo mtaroni, ndo utajua usingz unapata au hupati bila bia.

Huwa hatushauri, kila mmoja hujifunza kwa maumivu.
 
tafuta maziwa ya mama ukamulie kwenye glass yako ya bia unyweee!! utatapika hadi utoe utumbo aisee! hapo ndo itakua mwisho wako wa kupenda pombe, kwasababu utakua ukiona bia unachefukwaa....try it
 
Kama umeoa na mkeo ni kipanda uso,kila siku ni mgomvi ndugu yangu mimi si mwanasaikolojiaila saikolojia nayoipata kwa kusoma magazeti inaonesha ukiacha pombe siku zako za kuishi si nyingi! Kinyume chake kama hujaoa na ukapata bingo la kuoa hawa dada zetu waliostahili kuwa makatikista ila wakachelewa kufanya maamuzi basi pombe utaisahau soon!

Note;-
Ikiwa dili nyingi zinazokuingizia kipato na sadaka mjini unazipatia bar/kwenye unywaji endelea kunywa tu hata Mungu atakukingia kifua!
 
wadau nilikia naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia niache bia manake nimekua addicted sana siwez lala bila kugonga hata bia nne naona kama zinanimalizia hela! please guys i am serious

Kuacha bia ni shughuli.....mpaka ukatibu minyoo uliyoipata huko kwenye bia....sasa sijajua unataka uache bia uamie kwenye wine? Au whisky?
 
nataka niace pombw kabisa wadau nimejaribu njia nyingi nilijiwekea hadi ratiba ya kufanya mazoezi lakini wapi.! kanisani naenda kila jumapili
 
wadau nilikia naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia niache bia manake nimekua addicted sana siwez lala bila kugonga hata bia nne naona kama zinanimalizia hela! please guys i am serious

Just Turn To Cannabis Sativa.
 
nataka niace pombw kabisa wadau nimejaribu njia nyingi nilijiwekea hadi ratiba ya kufanya mazoezi lakini wapi.! kanisani naenda kila jumapili
uko wapi nikuuzie ktabu kinaweza kukusaidia.
 
FWATA HIZI NJIA ZILINSAIDIA KUACHA KUVUTA SIGARA NA KUPUNGUZA ULEVI
Mpaka leo nakunywa nikijisikia na huwa mara moja kwa mwezi
1. Anza kufanya mazoezi ya kukimbia hasa mida ya jioni na nenda dambe (gym) au piga push up pale unaposikia kiu ya sigala au pombe.
2. Badilisha kampani yako(marafiki) badala ya kukaa na walevi nenda kapige stori na wakristo au watu wengine wasiovuta wala kunywa.
3. Tafuta altenative recreative style(namna nyingine ya kujifurahisha) mfano ule mda uliokuwa unaenda bar kunywa sasa nenda uwanjani kaangalie mechi au kapashe mwenyewe uwanjani utawakuta wenzako wanafanya mazoezi.
4.Ukitoka ground tafuta muvi nzuri tulia kideoni, sikiliza mziki, au fuatilia program nyingine kwenye tv show, kama una smart phone ingia wassap chart na watu. hii ni kwa ajili ya kuikeep busy akili yako.
5. Ukishindwa haya nenda kwa wataalam wa jadi wanazo dawa za kutuliza mukali yako.
6. Okoka nenda church ukaombewe
7. Baada ya hapo njoo whassap 0765022978 unishukuru.
 
Back
Top Bottom