Wana JF,
Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma.
Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake.
Baadhi ya majibu kutoka kwa wadau
===============
njia sahihi na ya uhakika ni kuokoka.....kukubali Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako atamaliza kiu yote ya pombe tofauti na hapo cjui mm nlitumia njia nyingi bt sikuweza kufanikiwa ila nlipookoka sikusikia tena hamu ya pombe wala sigara