Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Kuacha pombe sio jambo rahisi kama unavyofikiri na pia huwezi kuacha gafla inakubidi ufanye program maalumu hasa kama wewe umekunywa kwa muda mrefu sana. Kama tayari umekuwa addicted ina maana kitu kinachokufariji na kukupa furaha ya maisha yako ni pombe, ukijaribu kuacha gafla kuna vitu utaathirika kama vile kupungua uzito, kuwa kama zube zube vile jambo hii hali itaisha lakini itachukua muda mrefu kidogo, hivyo kuacha pombe inawezekana lakini taratibu. Nakushauri jiunge na vikundi vya watu wenye nia ya kuacha pombe vipo vingi sana na kila mtu huko huwa anatoa ushuhuda namna alivyofanikisha kuacha pombe. Mtuache sisi tunaokunywa tuendelee kuenjoy life, pombe ina raha yake bwana asikuambie mtu
 
Pombe huwezi kuacha kwa kujadiliana na mtu wala hakuna dawa ya namna hiyo.

Ni wewe tu kuamka na kusema sasa basi, yatosha. Inawezekana kabisa maana hukuzaliwa nayo hiyo wala hutakufa sababu umeacha pombe. Hivyo pombe waachie kina namanyele tu.
 
Kama mkeo ananyonyesha mwambie akamulie maziwa yake kwenye gilasi ya pombe unayopendelea kunywa ' then kunywa huo mchanganyiko .ni dawa tosha hutakunywa pombe milele
 
Jamani naombeni mnishauri, nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana hata maendeleo yetu yanakuja taratibu sana kwasababu kipato chake anamaliza Bar.
 
←←Ongea Naye Kwanza Akiwa Hajanywa→→
 
Hapana hapotezi fahamu ila yan ye akipata 10000 bc yt lnaisha baa anarudi mikonn mitupu me cpendi kwakweli cjui niachane tu.
 
Hapana hapotezi fahamu ila yan yeye akipata 10000 bc yt lnaisha baa anarudi mikono mitupu me cpendi kwakweli cjui niachane nae tu.
 
Ugumu Wa Jambo Lako Ni Mmoja Tu! !!
Alikuowa Akiwa Mlevi?
Ama Baada Ya Kuowana Akaanza Ulevi?
Kama Kaanza Long Huwezi Kumbadili
 
Ugumu Wa Jambo Lako Ni Mmoja Tu! !!
Alikuowa Akiwa Mlevi?
Ama Baada Ya Kuowana Akaanza Ulevi?
Kama Kaanza Long Huwezi Kumbadili

yan kabla hatujaoana alikua anaficha ckua najua kbs na alikua anasm ye hatumii hy k2 lkn baada ya ndoa ndo nimekuja gundua kumbe n mlevi.I dn't knw what to do nw!
 
yan kabla hatujaoana alikua anaficha ckua najua kbs na alikua anasm ye hatumii hy k2 lkn baada ya ndoa ndo nimekuja gundua kumbe n mlevi.I dn't knw what to do nw!

Mkuu
Pole Sana
Mara Nyingi Mtu Kama Huyo Kamwe Usitegemee Ataacha Zaidi Anaweza Kukujibu Dry Akiwa Bwii Ukapata Hasira


Kuna Mtu Nilikuwa Namwambia Mtu Mwenye Tabia Zake Kama Huyo Ni Mzigo Anachopata Chote Kinaisha
 
simple tafuta maziwa ya mama anayenyonyesha...mchanganyie kwenye kinywaji chake...afu kaa pembeni uone kama hajatapika hadi utumbo..na akimaliza arudii tena..ama vip mama terry..??

Ooh yeah! Bila shaka amekupata sawia
 
Back
Top Bottom