Kuacha pombe sio jambo rahisi kama unavyofikiri na pia huwezi kuacha gafla inakubidi ufanye program maalumu hasa kama wewe umekunywa kwa muda mrefu sana. Kama tayari umekuwa addicted ina maana kitu kinachokufariji na kukupa furaha ya maisha yako ni pombe, ukijaribu kuacha gafla kuna vitu utaathirika kama vile kupungua uzito, kuwa kama zube zube vile jambo hii hali itaisha lakini itachukua muda mrefu kidogo, hivyo kuacha pombe inawezekana lakini taratibu. Nakushauri jiunge na vikundi vya watu wenye nia ya kuacha pombe vipo vingi sana na kila mtu huko huwa anatoa ushuhuda namna alivyofanikisha kuacha pombe. Mtuache sisi tunaokunywa tuendelee kuenjoy life, pombe ina raha yake bwana asikuambie mtu