Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Nadhani haujafanya vya kutosha kuhusu kuondoa Hilo Tatizo. Kwanza mwanamke amejaaliwa kipaji cha ushawishi. Tumia ushawishi wako. Mfanye aone kuwa hicho anachokifanya sio tu ni aibu kwake bali kwa familia nzima. Jaribu kumpeleka kwa wataalam wa masuala ya saikolojia na pengine ahudhurie kliniki za kuachana na pombe. Usiingie kwenye majaribu ya kutaka kuokoka kisa eti mumeo ni mlevi.
 
simple tafuta maziwa ya mama anayenyonyesha...mchanganyie kwenye kinywaji chake...afu kaa pembeni uone kama hajatapika hadi utumbo..na akimaliza arudii tena..ama vip mama terry..??

Ntajaribu hii k2 aisee
 

ahsante ntaufanyia kazi ushauri wk mzr
 
Tatizo liko kwako.

Mwambie kuwa nikikukera nikikusumbua na kukubughuti ... usinichukie wala kunihukumu sana. Nisamehe na kunichukulia kwani niko mbioni kupunguza hali hizi Mume wangu. Nazielewa na ninajua zinaweza muharibu mwanaume yeyote yule. Mwambie hivyo kwa dhati na variations ya hizo kwa muda wa wiki tatu alafu lete ajibu hapa.

Simply feel sorry for your personal corruptions .. AND God Bless you..!
 
Ulevi una sababu
wengine ni laana ya ukoo..ukifuatilia unakuta baba zake na babu ni humo humo

wengine ni kushindwa ku face reality za life,pombe ni njia yao ya ku escape..

wengine ushamba na kufuata mkumbo.....

kumsaidia unapaswa kujua sababu zake
 

Thankx
 




Mkuu
Huyu Jamaa Anakwepa Wajibu Wake
 
Mara hamadiii ulevi wake uhamie kwa maziwa ya mama wajawazito....salaleeeh!!!

simple tafuta maziwa ya mama anayenyonyesha...mchanganyie kwenye kinywaji chake...afu kaa pembeni uone kama hajatapika hadi utumbo..na akimaliza arudii tena..ama vip mama terry..??
 

Na wengine wana genetic predisposition......
 
Na wengine wana genetic predisposition......

Just now nilikua nasoma article inasema kuna variant of a gene called DRD4
ambayo mtu kana anayo hiyo basi ku cheat ni guarantee....
imagine that
 
Aisee, huyo dawa yake mtafute mama anaenyonyesha akuuzie robo lita ya maziwa. Then kanunue bia1 ya baridi changanga na maziwa kama robo lita alaf mpe anywe. Atatapika sana kale kaharufu ka maziwa kataenda kukata stimu zote za pombe anazoziwazaga kwenye mishipa ya ubongo.
 
Just now nilikua nasoma article inasema kuna variant of a gene called DRD4
ambayo mtu kana anayo hiyo basi ku cheat ni guarantee....
imagine that

Yup, genetic predispositions are real.

Some people are genetically predisposed to promiscuity.

Some have the propensity for violence which could also have a genetic predisposition.

Some people's kleptomania could be engendered by genetic predisposition.

It's a real thing man.
 
Lazima ujue sababu ya yeye kulewa.

Ukimuacha ujue unakimbia tatizo.
 

Hatari sana.....na huku Africa uelewa ni zero kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…