Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,315
Nadhani haujafanya vya kutosha kuhusu kuondoa Hilo Tatizo. Kwanza mwanamke amejaaliwa kipaji cha ushawishi. Tumia ushawishi wako. Mfanye aone kuwa hicho anachokifanya sio tu ni aibu kwake bali kwa familia nzima. Jaribu kumpeleka kwa wataalam wa masuala ya saikolojia na pengine ahudhurie kliniki za kuachana na pombe. Usiingie kwenye majaribu ya kutaka kuokoka kisa eti mumeo ni mlevi.