farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 699
Pombe haimalizi hela asikudanganye MTU labda kipato chake ni kidogo tu yaan hata asipokunywa hali itakuwa ileile.Mbona nyie mnavaa nguo za gharama Na wala haziendan Na kipato lakin sijawahi sikia mwanaume akillmika.mvumilie tu anaondoa stress, kila mwanaume huwa Na ulevi wake akiacha pombe atataka Mzigo kila siku nawe hutompa au atachepukahapana hapotezi fahamu ila yan ye akipata 10000 bc yt lnaisha baa anarudi mikonn mitupu me cpendi kwakweli cjui niachane tu.
Nadhani haujafanya vya kutosha kuhusu kuondoa Hilo Tatizo. Kwanza mwanamke amejaaliwa kipaji cha ushawishi. Tumia ushawishi wako. Mfanye aone kuwa hicho anachokifanya sio tu ni aibu kwake bali kwa familia nzima. Jaribu kumpeleka kwa wataalam wa masuala ya saikolojia na pengine ahudhurie kliniki za kuachana na pombe. Usiingie kwenye majaribu ya kutaka kuokoka kisa eti mumeo ni mlevi.
Pombe haimalizi hela asikudanganye MTU labda kipato chake ni kidogo tu yaan hata asipokunywa hali itakuwa ileile.Mbona nyie mnavaa nguo za gharama Na wala haziendan Na kipato lakin sijawahi sikia mwanaume akillmika.mvumilie tu anaondoa stress, kila mwanaume huwa Na ulevi wake akiacha pombe atataka Mzigo kila siku nawe hutompa au atachepuka
hapana hapotezi fahamu ila yan ye akipata 10000 bc yt lnaisha baa anarudi mikonn mitupu me cpendi kwakweli cjui niachane tu.
Pole weee, kuokoka imekuwa jaribu? Basi wewe ni shetani.
Soma uelewe nimesema kila mwanaume anaulevi wake asipokunywa pombe usishangae akawa mchepukajikwani wanaume walevi hawachepuki?Kuchepuka tabia ya m2 anaweza akawa anakunya pombe na kuchepuka anachepuka na anaweza akawa hatumii pombe na akawa so mchepukaji pia.
Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.
Ni kweli mimi ni Shetani ndio maana ni kasema "asije okoka sababu mume wake ni mlevi". Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini. Kama mume ni mlevi wa pombe na mkewe akaokoka basi familia inakuwa na walevi wawili. Hii itasababisha familia kwenda mrama.
hayo maziwa ya nguruwe nampaje?Hlf nayapata wap?
Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.
Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.
bia castle na konyagi na mawine na madude mengine ni matamu bwana asikuambie mtu