Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

hapana hapotezi fahamu ila yan ye akipata 10000 bc yt lnaisha baa anarudi mikonn mitupu me cpendi kwakweli cjui niachane tu.
Pombe haimalizi hela asikudanganye MTU labda kipato chake ni kidogo tu yaan hata asipokunywa hali itakuwa ileile.Mbona nyie mnavaa nguo za gharama Na wala haziendan Na kipato lakin sijawahi sikia mwanaume akillmika.mvumilie tu anaondoa stress, kila mwanaume huwa Na ulevi wake akiacha pombe atataka Mzigo kila siku nawe hutompa au atachepuka
 
Nadhani haujafanya vya kutosha kuhusu kuondoa Hilo Tatizo. Kwanza mwanamke amejaaliwa kipaji cha ushawishi. Tumia ushawishi wako. Mfanye aone kuwa hicho anachokifanya sio tu ni aibu kwake bali kwa familia nzima. Jaribu kumpeleka kwa wataalam wa masuala ya saikolojia na pengine ahudhurie kliniki za kuachana na pombe. Usiingie kwenye majaribu ya kutaka kuokoka kisa eti mumeo ni mlevi.

Pole weee, kuokoka imekuwa jaribu? Basi wewe ni shetani.
 
Pombe haimalizi hela asikudanganye MTU labda kipato chake ni kidogo tu yaan hata asipokunywa hali itakuwa ileile.Mbona nyie mnavaa nguo za gharama Na wala haziendan Na kipato lakin sijawahi sikia mwanaume akillmika.mvumilie tu anaondoa stress, kila mwanaume huwa Na ulevi wake akiacha pombe atataka Mzigo kila siku nawe hutompa au atachepuka

Kwani wanaume walevi hawachepuki?Kuchepuka tabia ya m2 anaweza akawa anakunya pombe na kuchepuka anachepuka na anaweza akawa hatumii pombe na akawa so mchepukaji pia.
 
hapana hapotezi fahamu ila yan ye akipata 10000 bc yt lnaisha baa anarudi mikonn mitupu me cpendi kwakweli cjui niachane tu.

Akipata 1,000,000/= anaweza kuinywa yote????tatizo la msingi sio kunywa kwake pombe,tatizo la msingi anaingiza kiasi kidogo cha hela kinachoishia bar!
 
Pole weee, kuokoka imekuwa jaribu? Basi wewe ni shetani.

Ni kweli mimi ni Shetani ndio maana ni kasema "asije okoka sababu mume wake ni mlevi". Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini. Kama mume ni mlevi wa pombe na mkewe akaokoka basi familia inakuwa na walevi wawili. Hii itasababisha familia kwenda mrama.
 
kwani wanaume walevi hawachepuki?Kuchepuka tabia ya m2 anaweza akawa anakunya pombe na kuchepuka anachepuka na anaweza akawa hatumii pombe na akawa so mchepukaji pia.
Soma uelewe nimesema kila mwanaume anaulevi wake asipokunywa pombe usishangae akawa mchepukaji
Na nimesema hivyo kwa vile yeye suala LA mchepuko hajalisema, simaanishi walevi siwachepukaji
 
Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.

Mimi naona mlevi wa kitu chochote mpaka aamue mwenyewe kuacha.kama hajaamua atajaribu kuacha baadae atarudia tena.
 
Ni kweli mimi ni Shetani ndio maana ni kasema "asije okoka sababu mume wake ni mlevi". Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini. Kama mume ni mlevi wa pombe na mkewe akaokoka basi familia inakuwa na walevi wawili. Hii itasababisha familia kwenda mrama.

Nimekuelewa vizuri sana.asante
 
Matafutie mateja wamkanyage ataacha mwenyewe kulewa
 
Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.

Unajidanganya unaweza kukuta mume wako tunampa sana offer wiki nzima yeye labda siku moja ndio anatoa offer.

Wakulalamika wangekuwa wake zetu siye tunayembeba mumeo lakini hawana ngebe, nyumba zinajengwa maisha yanakwenda vizuri tu.

Je umewahi kuiona salary slip ya mume wako? Unaujuwa mshahatara wa mabaniani?
 
Kwani umejuaje anaingiza milion wakati umesema kipato chake kidogo.? Wababa hunywa pombe kuondoa mastress mnaolete kila kukicha. Kama uko nae najua unakula unalala na watoto wanaenda skuli.
Tatizo unadhani Vitz ni maendeleo.

Wababa ndoo wenye akili ya mungu penda usipende. Halafu mtu akinywa bia nne unaona mlevi wakati hapo katumia 10 tu. Uvivu wa kufikirina wivu kwa wababa wanaosota mwanzo mwisho. Mshauri anywe.
 
Kumshauri itakuwa ngumu. Labda umuanzishe awe anakunywa nyumbani kwa kipimo. Juhudi inatakiwa hapo.
 
Back
Top Bottom