gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,577
Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.
mwache anywe
Chonga deal na mtu wa monchwary then muwekeeni kanyongeza ka ulevi ili apoteze fahamu then akizima tu mpelekeni monchwary azinduke akiwa huko alafu muende kumuona mkiwa mnalia huku mmevaa nguo nyeusi(za msiba) mbinu hii ili work kwa my late father
Ataacha pombe atahamia ule ulevi mwingine
hapana
Pombe haimalizi hela asikudanganye MTU labda kipato chake ni kidogo tu yaan hata asipokunywa hali itakuwa ileile.Mbona nyie mnavaa nguo za gharama Na wala haziendan Na kipato lakin sijawahi sikia mwanaume akillmika.mvumilie tu anaondoa stress, kila mwanaume huwa Na ulevi wake akiacha pombe atataka Mzigo kila siku nawe hutompa au atachepuka
Jambo la kujiuliza na wewe ni Mtumiaji? If yes! Don't expect kua ataacha.. Kama una kunywa anza kwanza wewe kuacha.. Na Usiguse kabisa. Tatizo hili lipo Kiroho zaidi.. Okoka wewe kwanza Hata kama yeye bado uwe na Uhakika yeye atafuata. Muombe Mungu abadilishe hali hyo ya Umateka wa Mumeo.. Ikibidi funga na kuomba.. Kuna Mambo hata kwny Biblia Yesu Amesema namna hii haiwezekani Ila ni kwakufunga na kuomba.. Ukishindwa Tafuta kanisa Sahihi na la kweli la Maombezi shirikisha watumishi wa Mungu kwa Msaada zaidi. Hakika Mume
Wako Atabadilika na kuacha kabisa ulevi.
Pole weee, kuokoka imekuwa jaribu? Basi wewe ni shetani.
simple tafuta maziwa ya mama anayenyonyesha...mchanganyie kwenye kinywaji chake...afu kaa pembeni uone kama hajatapika hadi utumbo..na akimaliza arudii tena..ama vip mama terry..??
Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.
kwani wanaume walevi hawachepuki?Kuchepuka tabia ya m2 anaweza akawa anakunya pombe na kuchepuka anachepuka na anaweza akawa hatumii pombe na akawa so mchepukaji pia.