Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.

swala la kujitambua ni la mtu binafsi si la kufundishwa ila ushauri wangu anza kunywa na wewe
 
Chonga deal na mtu wa monchwary then muwekeeni kanyongeza ka ulevi ili apoteze fahamu then akizima tu mpelekeni monchwary azinduke akiwa huko alafu muende kumuona mkiwa mnalia huku mmevaa nguo nyeusi(za msiba) mbinu hii ili work kwa my late father
 
Kinachowaumiza ni wivu wa mapenzi tu mnadhani tukiwa bar tunabambia bar maids,mbona tukitoka wote hata tunywe ngapi hamnaga nongwa?
 
Chonga deal na mtu wa monchwary then muwekeeni kanyongeza ka ulevi ili apoteze fahamu then akizima tu mpelekeni monchwary azinduke akiwa huko alafu muende kumuona mkiwa mnalia huku mmevaa nguo nyeusi(za msiba) mbinu hii ili work kwa my late father

Hahahaaaaaa! Duuuuh hii kweli kali.
 
Ataacha pombe atahamia ule ulevi mwingine
 
Jambo la kujiuliza na wewe ni Mtumiaji? If yes! Don't expect kua ataacha.. Kama una kunywa anza kwanza wewe kuacha.. Na Usiguse kabisa. Tatizo hili lipo Kiroho zaidi.. Okoka wewe kwanza Hata kama yeye bado uwe na Uhakika yeye atafuata. Muombe Mungu abadilishe hali hyo ya Umateka wa Mumeo.. Ikibidi funga na kuomba.. Kuna Mambo hata kwny Biblia Yesu Amesema namna hii haiwezekani Ila ni kwakufunga na kuomba.. Ukishindwa Tafuta kanisa Sahihi na la kweli la Maombezi shirikisha watumishi wa Mungu kwa Msaada zaidi. Hakika Mume
Wako Atabadilika na kuacha kabisa ulevi.
 
Pombe haimalizi hela asikudanganye MTU labda kipato chake ni kidogo tu yaan hata asipokunywa hali itakuwa ileile.Mbona nyie mnavaa nguo za gharama Na wala haziendan Na kipato lakin sijawahi sikia mwanaume akillmika.mvumilie tu anaondoa stress, kila mwanaume huwa Na ulevi wake akiacha pombe atataka Mzigo kila siku nawe hutompa au atachepuka

Na wasiwasi na wewr utakuwa mtumiaji mzuri sana.
 
Jambo la kujiuliza na wewe ni Mtumiaji? If yes! Don't expect kua ataacha.. Kama una kunywa anza kwanza wewe kuacha.. Na Usiguse kabisa. Tatizo hili lipo Kiroho zaidi.. Okoka wewe kwanza Hata kama yeye bado uwe na Uhakika yeye atafuata. Muombe Mungu abadilishe hali hyo ya Umateka wa Mumeo.. Ikibidi funga na kuomba.. Kuna Mambo hata kwny Biblia Yesu Amesema namna hii haiwezekani Ila ni kwakufunga na kuomba.. Ukishindwa Tafuta kanisa Sahihi na la kweli la Maombezi shirikisha watumishi wa Mungu kwa Msaada zaidi. Hakika Mume
Wako Atabadilika na kuacha kabisa ulevi.

Ushauri mzuri sana, mtoa mada jaribu kuchukua ushauri wa comment nzuri kama hizi then changanya na zako, chukua hatua.
 
Mkamulie maziwa ya binadam kwenye glas ya bia mchanganyie anywe pamoja,, siku hyo atatapika sana baada ya hapo hatapenda kuiskia hata harufu ya pombe
 
simple tafuta maziwa ya mama anayenyonyesha...mchanganyie kwenye kinywaji chake...afu kaa pembeni uone kama hajatapika hadi utumbo..na akimaliza arudii tena..ama vip mama terry..??

kumbe unaijua? Niiiiiiinaaaa, sasa mbona ww hujajikamulia ili uache?

Ila pombe bonge la kitu
 
Umeshaongea naye vzr mana nina mfano kuna rafiki yangu aliambia Acha guess kati ya pimbe na mke akafanya nunua akachagua pombe shem alifunga virago baada ya mwezi mambo magumu watoto akasalimu amri kaomba kikao ya is he na pombe ikawa mwisho Sujasema utume hii mbinu tafuta mbinu nzuri .
Jamani naombeni mnishauri nimsaidiaje mume wangu aache ulevi maana ht maendeleo ye2 yanakuja taratibu sn kwsbb kipato chake anamaliza bar.
 
Back
Top Bottom