Hahahaaaaaaaa
Huyo ananikumbusha nikiwa uswahilini siku moja nasukwa akatokea mlevi wa mataptap mchana jua kali anajaribu kurudi nyumbani ila miguu badala ya kukanyaga ardhi inainuka juu na yeye anakula mweleka hehehee.
Wakatokea wababa 2 wako soba wakawa wanataka kumsaidia kumvusha barabara wampeleke kwake akawa hataki wakambeba mgongoni akajiangusha chini yaani alikuwa hooii.
Wale wadada wasusi wakasema wale wababa wenzie sio wasamaria wanataka wampeleke mafichoni akilala wamkandamize na madudu yao. Ndo wakaelezea kuna babu mwingine hapo jirani yeye vijana wa mtaani wanamheshimu hivo alivolewa akalala wakampeleka machakani na kumvua suruali kisha wakampasulia ute wa yai matakoni. Alipofika asubuhi akajua alishachezewa mchezo mbaya tangu siku hiyo anaacha pombe.
Mie binafsi ulevi wangu ni dushee tuu na sijui ntaachaje ulevi huu.