CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Uko sawa kabisa mkuu,kuna msemo unasema;Sio Kweli, Kutenda Jambo Jema Au Ovu, Ni Ushawishi Na Msukumo Toka Nje!!! Hivi Wataka Kutuambia Hapa, Eti MTU Ambaye Hajawahi Kuonja Na Wala Hajui Radha Ya Pombe Na Hana RAFIKI /MARAFIKI Wake Wa Karibu Wawe Wa Kike / Kiume, Ambao Wao Ni Wazoefu Ktk. Mambo Hayo!!!! YEYE Binafsi Anaanza Vp Kwenda Bar Na Kuagiza Pombe Na Kuanza Kunywa!?? Bila Ya Kuwa Na Kampani Ya KUMSHAWISHI!!! VIVYO Hivyo Ataanza KUSHIRIKI Ktk. Kutenda Yalio Mema, Wkt Watu Walio Karibu Yake Woote, Wapiga Gambe, Msuba, Ngada, Wazinzi N.k!!!!!??? HIVYO Ni Wazi Kuwa" IBILISI WA MTU NI MTU "WALA Halina UBISHI!!! UKIWA Ndani Ya Kundi La Marafiki Mwema, Basi Utashawishika Kuiga Mema Na Kwa Wale Wa Watenda Maovu, Kadhalika Utaiga Yale Watendayo!!!
"Show me ur friends and i'll tell you who u are"
na msemo mwingine husema:
"Show me ur friends and i will tell u ur future"