HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,554
duuuuuKuna msela kitaani kwetu naye alipigwa miti na wahuni baada ya kukolea ulabu lakini cha ajabu mpaka leo bado yupo kitaa hana noma wala nini...anadai hao wahuni wamef.i.ra pombe na sio yeye!.
Ukifika huko nini kinafuatiaMkuu Divai ni sababu tosha ya kwamba MUNGU anatupenda na anataka kutuona tukifurahi
raha ya pombe ni kwamba inakupeleka mahali ambapo chochote hakiwezi kukufikisha
Poleni sana mimi nimegonga aina lundo za gambe na hakuna matata sina zile za kugombana wala vurugu na nina zigonga haswaaaaa hapa niko nakonga koo na maswahibabora yako ww sisi imetukataa
lazima kuna sababu ya kuachaMi Niliamua tu kuanzia siku hiyo staki pombe ikawa ngumu kuamini lakin kadri nilivyoanza kuzoea nikawa najipa moyo tyr nimeamua sirudi nyuma mi pombe basi mpaka leo mwaka wa pili huu sitaki kuisikia.
lakini nyingine unapigaUlanzi kitu kibaya sana niliacha hizi kitu baada ya kuteguka mkono sitasahau!
Babu alinipa mputa nikapiga kumbe dozi imezidi sasa wakati wa kurudi kwa bibi ndo ikawa inshu nilikula mweleka mmoja sitasahau maumivu yake yalinikomesha mpaka kesho sitaki ulanzi
Ila bia siipendi kwasababu ya ladha yake na harufu yake mbaya sana!
hahaha duuSiku hiyo nimetoka zangu arusha nimekuja dar kutokana na ubaili nikaona ninye safari za moto mixer + mixer joto la dar nilileta vurugu sana kesho yake niliamka sijielewi kwanzia siku hiyo nilisema sinto kunywa tena bia zaidi ya mbili kweli tokea hiyo mwaka jana hata ulete gari limejaa bia nitachukua zangu mbili tu zinanitosha
duuuu kwa hiyo pombe kwako ni raha sanaaaMtu asiekunywa pombe huwa na mfananisha na yule anae ipenda pepo alaf ajui bei ya jeneza wala size ya jeneza lake au ambae ajui hata bei ya sanda sasa sijui huwa anawazaga pepo ipi kama.afikirii kufa ?
Ukikata kiraji kistaarab ni moja ya burudaan nzur sanaduuuu kwa hiyo pombe kwako ni raha sanaaa
HahahaaaaaaaaKuna msela kitaani kwetu naye alipigwa miti na wahuni baada ya kukolea ulabu lakini cha ajabu mpaka leo bado yupo kitaa hana noma wala nini...anadai hao wahuni wamef.i.ra pombe na sio yeye!.
Sinywi aisee mkuu pombe hizo mimi nishavunja nazo mkataba pombe ya aina yeyote!lakini nyingine unapiga
hako kamchezo ka kupasuliana ute hatari sana unaweza ukakimbia mjiHahahaaaaaaaa
Huyo ananikumbusha nikiwa uswahilini siku moja nasukwa akatokea mlevi wa mataptap mchana jua kali anajaribu kurudi nyumbani ila miguu badala ya kukanyaga ardhi inainuka juu na yeye anakula mweleka hehehee.
Wakatokea wababa 2 wako soba wakawa wanataka kumsaidia kumvusha barabara wampeleke kwake akawa hataki wakambeba mgongoni akajiangusha chini yaani alikuwa hooii.
Wale wadada wasusi wakasema wale wababa wenzie sio wasamaria wanataka wampeleke mafichoni akilala wamkandamize na madudu yao. Ndo wakaelezea kuna babu mwingine hapo jirani yeye vijana wa mtaani wanamheshimu hivo alivolewa akalala wakampeleka machakani na kumvua suruali kisha wakampasulia ute wa yai matakoni. Alipofika asubuhi akajua alishachezewa mchezo mbaya tangu siku hiyo anaacha pombe.
Mie binafsi ulevi wangu ni dushee tuu na sijui ntaachaje ulevi huu.
hivi unajua kuna watu wanakunywa siku zote zaba za wiki??yaani hawezi kulala mpala anyweNimesgajiapiza Mimi na pombe damu damu....na ssijahi kupata majanga makuuubwa kikubwa ni kunywa ukijua kesho ipo ila ukinywa kama vile unakufa hivi karibuni lazima ubakwe tu.