Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Uko sawa kabisa mkuu,kuna msemo unasema;

"Show me ur friends and i'll tell you who u are"
na msemo mwingine husema:
"Show me ur friends and i will tell u ur future"
 
Pombe unaamua tu ghafla alafu ndio basi.

Ila ukiiona glass inatoa povu ni kishawishi kikubwa ajabu
 
Katika resolution zangu za 2004 mojawpo ilikuwa kuacha pombe na nimeiheshimu hadi leo
 
Nilikuwa nakunywa bia 2 nalewa sana hata kesho kazini nakuwa mgonjwa nikaamua kuacha tu, miaka kama kumi iliyopita.
 
Nilipookoka tu nilijaribu kunywa ikawa chungu sana nikaacha moja kwa moja na sijanywa tena na wala sitakunywa tena. Ukiwa na Yesu ndani yako kiu yote ya pombe inaondoka. Karibu kwenye wokovu.
 
Dawa ya pombe fanyeni hivi: mumvie akiwa amelewa, mumnyweshe maziwa fresh ya punda kihongwe, atatapika sana na tokea siku hiyo hatatamani tena pombe katika maisha yake
 
Salamu wakuu,

Katika mihangaiko yangu ya wiki au siku huwa napita seemu zetu kupata moja moto moja baridi,kunawakati hua najipanga kabisa ngoja leo nikapige za kutosha, lakini hua nikishapiga kadhaa,system ikifika equilibrum nakua siwezi ongeza tena,nikiongeza hata moja tu inakua ni kupoteza memory.

Kwa wazoefu wa ivi vitu,naomba kujua ni vitu gani hua vinasaidia kupunguza pombe kichwani na kukufanya urudi kua active ili uendeleze mtanange? Najua leo ni weekend hii mada itawagusa sana watu.

Nawasilisha
 
Kamata supu ya samaki ndugu utakuwa pouwaa kabisa usisahau ndim nyingii na mama awe pembeni
 
Redbul huwa inakata kilevi kwa asilimia fulani....but usinywe zaid ya mbili. Mimi nime prove hiyo kitu na huwa inanisaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…