Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Waambie watu wa Nyumbani kwako kua Siku ukilewa chakari wakuchukue na kukupeleka Mochwari wakulaze kwenye sakafu chini,

Pombe ikikutoka kichwani na ukajikuta umezungukwa na Maiti nyingi utapiga kelele za uoga,hapo wakuache tu kama nusu saa hivi kisha wakufungulie mlango ili utoke,

Na imani hapo hutolewa tena coz ukilewa tena zoezi linaendelea lile lile tu la kukupeleka Mochwari.
 
Thanks mkuu, thanks for your courageous words...
Nitafanya hivyo
 
Dada nashukuru kwa ushauri wako....
 
Mshahara wako ukitoka nipe nikushikie. Na unipe ruhusa ya kukukong'ota mikonzi nikikubaini ulikopa pombe. Nitakufanyia hii free of charge.

Option B, njoo ulewe baa za kwetu. Siku ukivunjiwa yai wallah wabillah, hutakaa unywe pombe tena
Bar zenu za Wapi mkuu.... Sio wa kiivyo.. Nakunywa maeneo classic. And always na behave...
 
Thanks you mkuu.... Nimefurahi sana kusikia ushauri wako. Tatizo nikienda na elfu 10 ikiisha naingia ATM.
Nitajitahd ku avoid company za usiku.. Asante kwa ushauri wako.
 
Asante mtumishi, nafarijika sana kuona comment yako ambayo ni very constructive.
 
Mkuu hii mbinu ya inahitaj uwe na ndugu ma mafia ... Hakuna jambo linaloshindikana nahis mob yangu sio nzur.
 
Mi Nishawahi kwenda mara mbili bahati mbaya mara zote nilishapiga mai over kitwanga hapo sasa!Ni shida kwa kweli ila nitaacha tu!
 
kwakutambua tatizo ni hatua moja kubwa sana umeifanya sasa unahitaji nguvu ya kufanya maamuzi natumaini utashinda.
 
Ukipata hela zako toa za mahitaji mengine kisha zilizobaki zote nipe mimi hapo utakuwa umeacha kabisa maana hutakuwa na uwezo wa kujinunulia
 
Pole sana ndugu yangu solution ni ndogo tu, nayo ni amua kuamua. Mamlaka ya kujizuia yapo ndani ya uwezo wako acha kujiendekeza ni we mwenyewe wa kujitoa kwenye hilo janga la pombe kama ulivyojiingiza
 
Mbona ni rahisi kuacha pombe? Mrudie Mungu naye atakata kabisa kiu ya pombe na utakuwa mtu mpya,kuwa mtu wa sala na maombi na utakuwa umejengeka KISAIKOLOJI na kuishinda tamaa ya pombe.
 
Ushauri wa mwisho kama yote utashindwa, kunywa angusha gari uswahilini utaacha siku ya pili.
 
Kisingizio cha upepo sio issue. Issue ni addiction inayotokana na continuous practice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…