Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Thanks you mkuu.... Nimefurahi sana kusikia ushauri wako. Tatizo nikienda na elfu 10 ikiisha naingia ATM.
Nitajitahd ku avoid company za usiku.. Asante kwa ushauri wako.
Poa. Yaan usiende mbali. Ikibidi usibebe ATM card. Pole sn
 
huna pepo, wala nini, Fanya hivi amua kuacha, ulishawahi waza ukifungwa gerezani au ukiumwa utaendelea kunywa? Jipe majukumu makubwa mfano kununua assets ili ubakiwe na hela ya kula tu afu tuone kama utaenda kukopa hela ya kunywea.
Jiweke busy cheza mpira au jogging kabla hujaenda kulala Fanya haya haujawa addicted bado maana kuna stage mi ilifika nikawa natetemeka mikono ila nilipambana kuanza zoezi, kukimbia Makundi ya pombe na sasa nina miezi minne
 
Tatizo kubwa nadhani haukobize vyakutosha na pia hauna vipaumbele
=Jaribu kuwa na committment weekdays kiasi kwamba unakuwa umechoka siku ikiisha unarudi home kulala

= Tafuta binti unaempenda umuweke kwenye ratiba zako, mara nyingi ile idleness ndio inafanya kwenda kujiunga na wanywaji ila ukiwa nae anaekufuatilia ukowapi etc inasaidia sana kuregulate schedule. Ila angalia usije pata mpenda bata akafanya spending ikawa double.

= Jiwekee malengo ya maana ya kifedha. Kwa mfano kununua kiwanja, kujenga etc kiasi kwamba pesa yako inatumika vilivyo unakuwa huna pesa ya kukesha baa.

= rekodi matumizi yako, andika kila siku matumizi yako kwa makundi mbali mbali utashangaa kwa mwezi umetumia kiasi gani kwenye bata kisha weka budget mfano maximum 10% ya income ya mwezi ndio entertainment na hii sio kunywa tu.

= fanya hobby zenye matokeo chanya, mfano jiunge gym enroll shule za jioni (postgraduate etc) kutokana na level yako hii itakupa discpline pia utakutana na watu ambao ukijilanganisha nao utaona umeachwa nyuma kimaendeleo.

=Pia waone watu wanaitwa lifestyle consultant watakusaidia namna ya kujipanga.

= Mwisho kunywa weekends na ikiwezekana usinywe bia au kwneye low income bar.
 
Wewe ni alcoholic. Kwa hiyo mimi nataka nikupe ushauri. Labda itamsaidia Kitwanga. Ukinywa pombe habitually,baada ya muda fulani,unapita critical point,na ulevi wako unakuwa ni blood disease. Ndio hapo unakuwa addicted na unashindwa kuacha. Pia watoto wa alcoholics wanashauriwa wasiguse kabisa pombe. Kwa sababu wao ni prone to become alcoholic. Wanaweza kuwa alcoholic kwa kunywa crate moja au kwa kunywa chupa moja tu ya bia. Wakifikiacritical level.nao wanapata blood disease,wanakuwa alcoholic. Alcoholism cannot be cured.(Ndiyo maana Rais kamfukuza kazi Kitwanga) Ila tu pamoja na ushauri,you need to see a doctor.
 
dawa ni ndogo tu..siku moja lewa chakari afu tembea kwa miguu kula timing ukaangukie kwenye kijiwe cha wahuni,kabla ya kujiangusha hakisha umefungua vishikio vya suruali na ukianguka makalio yawe wazi na uyaelekeze juu..nin imani utakachokipata hapo hutarudia tena kulamba mma. hata soda utaiogopa
 
Mkuu usisingizie gambe ndiyo tatizo, tatizo ni wewe..... Umekubali kunyosha mkono juu gambe imekuzidi akili, gambe imekutawala brain yako.....hakuna dawa zaidi ya wewe kufanya maamuzi ya kuacha
 

Mkuu kwa hali hii underperformance kazini ni given lazima ikuhusu...
- Kuchelewa kwenda kazini
-Kuamka unanuka gambe
-Kuamka na hangover lazima uibe muda wa kwenda kuzimua hangover
-Uzembe kazini
-bad reputation kutoka kwa bosi wako
 
Aisee nenda baharini unywe maji ya bahari kutwa mara tatu kwa siku sita
 
Mkuu pia muongezee awe na paketi zetu zileee za kutosha ili zoezi liwe la usalama zaidi!!.
 
From Beyond the tenth by lobsang rampa. Page 149;
One of the most common queries I get is:"My husband is alcoholic. He is the kindest man alive when he is sober,but that is becoming more and more infrequent. I shall have to divorce him. What do you advise?" Jibu linafuatia.stay tuned.
 
minakula tungi mpaka majogoo, nashukuru sizimi taa na simisbehave! stress nyingi mzei wacha nilewe
 
It is a very sad,sad thing that this business of drink has been allowed to continue. Drink definitely harms one's Overself,and if people did not drink they would not become alcoholic. The alcoholic state is not so much a vice as an illness,or dysfunction. What happens is that the blood of the alcoholic-type of person is defective,and it becomes very,very greatly harmed by the action of alcohol. Blood cells become changed,and a chemical change takes effect.A person who is alcoholic is a very,very sick person indeed,and no matter what anyone says,it is my experience that there is no cure for the alcoholic,no cure that is feasible. If a person is an alcoholic he or she would have to beconfined to a desert island in the hope that the blood might possibly become more normal in time.
 
Thanks you mkuu.... Nimefurahi sana kusikia ushauri wako. Tatizo nikienda na elfu 10 ikiisha naingia ATM.
Nitajitahd ku avoid company za usiku.. Asante kwa ushauri wako.
Siku hizi hata kwenye ATM hauendi. Unaingia Simbanking unahamisha kwenda mpesa au tigopesa then unatafuta kibanda cha karibu unarejea.
Mkuu nakuelewa sana. Tuko kwenye mashua moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…