aneth joseph
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 135
- 89
mkuu kufa kufaana bhana mwache mwenzio amtumie hela amtumie kitabu kwa basiSi umtajie tuu jina la iko kitabu ili akinunue huku huku! Au na wewe unataka kutokea kwenye matatizo ya wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kufa kufaana bhana mwache mwenzio amtumie hela amtumie kitabu kwa basiSi umtajie tuu jina la iko kitabu ili akinunue huku huku! Au na wewe unataka kutokea kwenye matatizo ya wengine?
Poa. Yaan usiende mbali. Ikibidi usibebe ATM card. Pole snThanks you mkuu.... Nimefurahi sana kusikia ushauri wako. Tatizo nikienda na elfu 10 ikiisha naingia ATM.
Nitajitahd ku avoid company za usiku.. Asante kwa ushauri wako.
huna pepo, wala nini, Fanya hivi amua kuacha, ulishawahi waza ukifungwa gerezani au ukiumwa utaendelea kunywa? Jipe majukumu makubwa mfano kununua assets ili ubakiwe na hela ya kula tu afu tuone kama utaenda kukopa hela ya kunywea.Wakuu naomba ku share na nyinyi hii tabia nahitaji msaada for real.
Mimi ni kijana wa miaka 27, na tabia hii ambayo sio ya kuiificha. Weekend hii nilikuwa naona mnamsema Kitwanga lakini Kuna vitwanga wengi JF na mitaani. Kilevi/beer natumia kupita maelezo. Maisha yangu yamekuwa ya kula bata viunga vya jiji la marahaba. salary yote inaishia kwenye vyupa.
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini, najaribu kuacha nashindwa. Nisipokunywa nakuwa very decent & smart young man. Lakin nikinywa tu nakuwa chakaramu.Mbaya zaidi imenifanya nisiwe serious kabisa hata kwenye issues ambazo ni very critical. Na offisini nimeanza ku underperform.
Nimekuwa mtu wa mawazo sana nisipokunywa. Kinachonishangaza ni kwamba mchana siwezi kugusa beer. Lakini ikifika saa tatu usiku shetani ananishawishi naondoka kwangu kuelekea viwanja vya mbali. Huko nitapiga kamnyeso mpaka kumi za usiku nikirudi hoi. Pombe ni source of all evils trust me people.Na mbaya zaidi inazeesha sana.
I wish to change, i wash to focus on life. I wish to have a beautiful family Lakin sijui nachomoka vipi. Naweza jizuia wiki Mbili lakini nikizipatia nafidia siku zote ambazo sijapata. This is not normal.
Maji haya ya Mzungu yamenikamata akili mpaka naona soon nitatumbuliwa jipu.I was handsome mpaka namaliza chuo. Nilikuwa nikitembea wasupaaaa (babies) wanani admire. But currently nipo very rough hata kesho sijui nitavaa nini kwenda officin.Sina savings, sina kiwanja, sina mchumba
Jina kubwa maendeleo zero.Nilikuwa na aminika Lakin sasa hivi hakuna anae ni trust including my family members.Nataka toroka kwenye hili pepo chafu. Kama Kuna sehemu ya maombi/tiba ya ki science ya uhakika please naombeni msaada. Na kama mpo young men wa type hii badilikeni kimea sio kitu kizuri.
Note. Hii excuse ya ku control it's not real. Pombe huwezi control, overtime itakuzidia tu.
Mkuu usisingizie gambe ndiyo tatizo, tatizo ni wewe..... Umekubali kunyosha mkono juu gambe imekuzidi akili, gambe imekutawala brain yako.....hakuna dawa zaidi ya wewe kufanya maamuzi ya kuachaWakuu naomba ku share na nyinyi hii tabia nahitaji msaada for real.
Mimi ni kijana wa miaka 27, na tabia hii ambayo sio ya kuiificha. Weekend hii nilikuwa naona mnamsema Kitwanga lakini Kuna vitwanga wengi JF na mitaani. Kilevi/beer natumia kupita maelezo. Maisha yangu yamekuwa ya kula bata viunga vya jiji la marahaba. salary yote inaishia kwenye vyupa.
Nashindwa kuelewa tatizo ni nini, najaribu kuacha nashindwa. Nisipokunywa nakuwa very decent & smart young man. Lakin nikinywa tu nakuwa chakaramu.Mbaya zaidi imenifanya nisiwe serious kabisa hata kwenye issues ambazo ni very critical. Na offisini nimeanza ku underperform.
Nimekuwa mtu wa mawazo sana nisipokunywa. Kinachonishangaza ni kwamba mchana siwezi kugusa beer. Lakini ikifika saa tatu usiku shetani ananishawishi naondoka kwangu kuelekea viwanja vya mbali. Huko nitapiga kamnyeso mpaka kumi za usiku nikirudi hoi. Pombe ni source of all evils trust me people.Na mbaya zaidi inazeesha sana.
I wish to change, i wash to focus on life. I wish to have a beautiful family Lakin sijui nachomoka vipi. Naweza jizuia wiki Mbili lakini nikizipatia nafidia siku zote ambazo sijapata. This is not normal.
Maji haya ya Mzungu yamenikamata akili mpaka naona soon nitatumbuliwa jipu.I was handsome mpaka namaliza chuo. Nilikuwa nikitembea wasupaaaa (babies) wanani admire. But currently nipo very rough hata kesho sijui nitavaa nini kwenda officin.Sina savings, sina kiwanja, sina mchumba
Jina kubwa maendeleo zero.Nilikuwa na aminika Lakin sasa hivi hakuna anae ni trust including my family members.Nataka toroka kwenye hili pepo chafu. Kama Kuna sehemu ya maombi/tiba ya ki science ya uhakika please naombeni msaada. Na kama mpo young men wa type hii badilikeni kimea sio kitu kizuri.
Note. Hii excuse ya ku control it's not real. Pombe huwezi control, overtime itakuzidia tu.
Wakuu naomba ku share na nyinyi hii tabia nahitaji msaada for real.

Mkuu pia muongezee awe na paketi zetu zileee za kutosha ili zoezi liwe la usalama zaidi!!.dawa ni ndogo tu..siku moja lewa chakari afu tembea kwa miguu kula timing ukaangukie kwenye kijiwe cha wahuni,kabla ya kujiangusha hakisha umefungua vishikio vya suruali na ukianguka makalio yawe wazi na uyaelekeze juu..nin imani utakachokipata hapo hutarudia tena kulamba mma. hata soda utaiogopa
Ni ushauri mzuri mkuu..asisahau na vilainishiMkuu pia muongezee awe na paketi zetu zileee za kutosha ili zoezi liwe la usalama zaidi!!.
Siku hizi hata kwenye ATM hauendi. Unaingia Simbanking unahamisha kwenda mpesa au tigopesa then unatafuta kibanda cha karibu unarejea.Thanks you mkuu.... Nimefurahi sana kusikia ushauri wako. Tatizo nikienda na elfu 10 ikiisha naingia ATM.
Nitajitahd ku avoid company za usiku.. Asante kwa ushauri wako.
Yuko mtaa wenu?Ulevi ni roho ya ibilisi. Njoo kwa Yesu ndo sululisho. Wengi tulimeokoka huko. Sasa tuko huru