Mkuu sikubaliani nawe. Kuacha pombe kwa hiari ni NDOTO.Mtu yeyote anayejiforce kuacha pombe au sigara kwa kutumia ''dawa'' huwa hachukui muda mrefu kupiga u-turn na kufakamia monde tena. Kuacha Pombe huwa ni maamuzi thabiti ya mtu mwenyewe kutoka moyoni kabisa. Any external influence normally fails miserably.
Mkuu acha ubishi kanyjwe dawa. Kuacha pombe kwa hiari ni ndoto.Mtu yeyote anayejiforce kuacha pombe au sigara kwa kutumia ''dawa'' huwa hachukui muda mrefu kupiga u-turn na kufakamia monde tena. Kuacha Pombe huwa ni maamuzi thabiti ya mtu mwenyewe kutoka moyoni kabisa. Any external influence normally fails miserably.
Pombe 50000
Sigara 50000
Madawa 50000
Bangi 50000 na kama ni
Vyote unajumlisha pesa
No ya sim haina tatizo je ofisi yako iko wapi? na unakibali cha serekali? Maana dakika 10 mmh!!!Siri ya ofisi mkuu hii ni alimasi siwezi kupa
Sawa fanyia utafiti na wewe kwa Chid Benz na wengineo tuone matokeoJamani nitafutieni wale wasanii sina mawasiliano yao ila ntawatibu bureee
.
Mgumu wa kutumia dawa unaweza mwekea kwenye chakula Maji au kinywaji anachokipenda
0653551607
View attachment 461402
Ni sawa na kunywa ''dawa'' hoping itaquence hamu yako ya kugegeda. Never.Mkuu acha ubishi kanyjwe dawa. Kuacha pombe kwa hiari ni ndoto.
Kuacha pombe kwa hiari ni ndoto mkuu.Umenena vema,,,vyote ni rahis sana kuacha ikiwa tu utaamua,njia pekee ya kufanya au kutofanya chochote ni kuamua peke yako. Kua sitak tens na kuanzia Leo naacha na uamue kwel kwel
Hahaha...mambo ya fursa hayo! Mkuu samahani kwa kuingilia uzi wako ila maziwa ya nguruwe pia ni dawa ya kuacha pombe
Kula monde mkuu, unaanzaje kuacha kilaji.ngoja nisave namba yako nikiamua kuacha kilabu nije
Ya chidbenz hiyo hapo~0753941236Natafuta mawasiliano yake na ya wasanii wengine ukipata nayaomba
nalipa lipa kodi badoKula monde mkuu, unaanzaje kuacha kilaji.
HahahahaaaaaaNitumie tafadhari. Siku nikipona nitakurushia kwa m pesa
Mkuu pombe is a physiological problem sio pscycological problem. Ndio maana nasema kuacha pombe kwa hiari ni ndoto.Ni sawa na kunywa ''dawa'' hoping itaquence hamu yako ya kugegeda. Never.