Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Je ni ya kunywa,kumdunga mtu au kunusa? Je mamlaka husika kama vile TFD wana tarifa na dawa hii? ikiwa ndivyo hongera utakiokoa kizazi kijacho.
 
Mtu yeyote anayejiforce kuacha pombe au sigara kwa kutumia ''dawa'' huwa hachukui muda mrefu kupiga u-turn na kufakamia monde tena. Kuacha Pombe huwa ni maamuzi thabiti ya mtu mwenyewe kutoka moyoni kabisa. Any external influence normally fails miserably.
Mkuu sikubaliani nawe. Kuacha pombe kwa hiari ni NDOTO.
 
Mtu yeyote anayejiforce kuacha pombe au sigara kwa kutumia ''dawa'' huwa hachukui muda mrefu kupiga u-turn na kufakamia monde tena. Kuacha Pombe huwa ni maamuzi thabiti ya mtu mwenyewe kutoka moyoni kabisa. Any external influence normally fails miserably.
Mkuu acha ubishi kanyjwe dawa. Kuacha pombe kwa hiari ni ndoto.
 
Umenena vema,,,vyote ni rahis sana kuacha ikiwa tu utaamua,njia pekee ya kufanya au kutofanya chochote ni kuamua peke yako. Kua sitak tens na kuanzia Leo naacha na uamue kwel kwel
Kuacha pombe kwa hiari ni ndoto mkuu.
Hahaha...mambo ya fursa hayo! Mkuu samahani kwa kuingilia uzi wako ila maziwa ya nguruwe pia ni dawa ya kuacha pombe
 
Jamani UZINZI nao ugonjwa au? ikiwa ndivyo hili nalo ni lango linalotafuna fedha za wanaume. Binafsi naona ni heri mnywaji wa pombe kuliko UZINZI, hawa watu wawili wakikaa kupiga hesabu, nadhani mzinzi anapoteza kiasi cha fedha nyingi kwa mwaka kuliko mnywaji pombe. Huu ni mtazamo wangu
 
Du!!WAtu watapoteza ajra,inamana unataka viwanda vya pombe sigara na n.k vfungwe eti?
 
Ni sawa na kunywa ''dawa'' hoping itaquence hamu yako ya kugegeda. Never.
Mkuu pombe is a physiological problem sio pscycological problem. Ndio maana nasema kuacha pombe kwa hiari ni ndoto.

Dawa ya kuacha pombe ipo...nimeshawahi kushuhudia walevi sugu wakiponeshwa ugonjwa huo. Kuna mganga yupo Dodoma wilaya ya Kongwa ambaye ni kiboko ya walevi nchini. Dawa zipo, acha ubishi jamani.
 
Back
Top Bottom