Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

CHONDE CHONDE BANDUGU MSIACHE POMBE NA SIGARA, mnajua kuwa serikali inategema kwa kiasi gani kodi itokanayo na pombe na sigara? TRA naomba mumkamate huyu muhujumu uchumi wa nchi yetu pendwa.

Je unajua kuwa vita barani africa havitaisha kwamaana ni biashara za watu? ( silaha).
Je unajua kuwa njaa africa haitaisha kwamaana ni biashara za watu?
Je unajua kuwa dawa ya ukimwi inazuiliwa kuvumbuliwa kwamaana ni biashara za watu?
Je unajua magonjwa barani afrika ni biashara za watu?
 
Mkuu pombe is a physiological problem sio pscycological problem. Ndio maana nasema kuacha pombe kwa hiari ni ndoto.

Dawa ya kuacha pombe ipo...nimeshawahi kushuhudia walevi sugu wakiponeshwa ugonjwa huo.

Hiyo dawa unakua unaitumia KILA hamu ya pombe inapokuja? au unameza mara moja (au kwa siku kadhaa as prescribed by the Mganga) then automatically unaacha pombe once and for all? sio ubishi mkuu, tunajifunza tu hapa.

Harafu kunywa Pombe sio ugonjwa ujue.
 
Wewe utakuwa ni msaliti wa viwanda vyetu vya sigara na bia.
 
Sasa ndani ya dakika kumi mtu atajuaje kuwa amepona? Unataka kuua watu ww mi nimekula bia mwaka wa 27 saivi alafu uje unikatishe ghafla kwa dakika kumi!! Hata umoja wa mataifa hauwezi ruhusu iyo kitu
 
Atakayetumia dawa na kupona anifate inbox maana mimi natumia faru Pombe sigara bangi na mirungi
 
Awamu hii walevi wengi wata tapeliwa...kitu kimemshinda mzungu,mswahili aweze.!?aingii akilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…