Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Ndugu zangu mimi nimetumiwa leo hii toka Korogwe, Tanga saa hizi nakunywa pombe lkn ifikapo saa 3 usiku nitainywa hiyo dawa halafu nitatoa mrejesho kama si leo basi kesho fuatilieni mrejesho.
 
Ndugu zangu leo nimepokea hiyo dawa toka Korogwe baada ya kuweka order saa 3 asubuhi, nakunywa pombe kwanza ifikapo saa 3 usiku nitainywa hiyo dawa halafu baada ya muda kidogo au kesho fuatilia mrejesho.
 
Nna hamu ya kupata hlo jibu.. Waiter ongeza kiroba tafadhali kwanza nikisubiri hlo jibu.
 
Siku nikigundua mtu kaniwekea hayo makitu ili niache pombe wallai naweza kuua...naombaya sigara mkuu zimenichosha!!
 
tpaul ndio huyu mganga kaja na id ingine.ila mkuu tpaul km kungekuwa na dawa ya kuacha wanawake ningekuja kukuona mimi sijawahi kukataliwa na mwanamke sasa umri unazidi kwenda nataka kuacha
Mkuu ndio mm. Dawa ya wanawake ingekuwepo hata mm ningeishainywa siku nyingi....nami natesswa sana na tatizo hilo. Ila nadhani mm lazima nitakuwa na pepo la ngono sio bure.
 
Siku nikigundua mtu kaniwekea hayo makitu ili niache pombe wallai naweza kuua...naombaya sigara mkuu zimenichosha!!
Tuwasiliane mkuu , lakini pia tusubiri mrejesho wa jaama juu hapo
 
Xx ndani dakika kumi tu unaacha pombe zikipita izo dakika kumi unaludia pombe,ebu fafanua vizurii yaani mtu achee pombe ndani ya dakika kumi mbona kitu rahisi,swali kwani uyu uwa anakunywa mda wote?mpaka iwe dakika kumi wasilisha vizurii
 
Mkuu ndio mm. Dawa ya wanawake ingekuwepo hata mm ningeishainywa siku nyingi....nami natesswa sana na tatizo hilo. Ila nadhani mm lazima nitakuwa na pepo la ngono sio bure.
Ila mm nguvu zimeshaanza kupungua labda iwe kwa team mpya
 
Xx ndani dakika kumi tu unaacha pombe zikipita izo dakika kumi unaludia pombe,ebu fafanua vizurii yaani mtu achee pombe ndani ya dakika kumi mbona kitu rahisi,swali kwani uyu uwa anakunywa mda wote?mpaka iwe dakika kumi wasilisha vizurii
Mkuu kama una ndugu aliyeshindikana mnunulie
 
Ndugu zangu leo nimepokea hiyo dawa toka Korogwe baada ya kuweka order saa 3 asubuhi, nakunywa pombe kwanza ifikapo saa 3 usiku nitainywa hiyo dawa halafu baada ya muda kidogo au kesho fuatilia mrejesho.
 
Mkuu naomba ya sigara kwanza naomba unipm na ntaomba unipunguzie bei,juu mwezi ni mgumu sana,nikipona sigara ntafata ya pombe!!
 
Mkuu dawa IPO inaponya na kukuachisha kwa 100% mtaelewa tu polepole
 
Kuacha pombe au sigara ni maamuzi kusema kwanzia leo tarehe 20 kwa maisha yangu yote yaliyo salia hapa duniani sintaa kaa ninywe tena pombe wala kuvuta sigara na ukisema hivyo kwa kumaanisha utajikuta unashinda vishawishi, Unavumilia maumivu na unasonga mbele hawa ndiyo wale tunao wasikiaga wakisema nina miaka kumi sasa sijavuta sigara au sijanywa pombe..
 
Duuu haya ,ila japo nakula sana fegi ila sina imani ya kuacha kwa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…