Siyo kweliKuacha pombe au sigara ni maamuzi kusema kwanzia leo tarehe 20 kwa maisha yangu yote yaliyo salia hapa duniani sintaa kaa ninywe tena pombe wala kuvuta sigara na ukisema hivyo kwa kumaanisha utajikuta unashinda vishawishi, Unavumilia maumivu na unasonga mbele hawa ndiyo wale tunao wasikiaga wakisema nina miaka kumi sasa sijavuta sigara au sijanywa pombe..
Mkuu trust me hutajutaDuuu haya ,ila japo nakula sana fegi ila sina imani ya kuacha kwa dawa
exactly! umenena vyema.Mtu yeyote anayejiforce kuacha pombe au sigara kwa kutumia ''dawa'' huwa hachukui muda mrefu kupiga u-turn na kufakamia monde tena. Kuacha Pombe huwa ni maamuzi thabiti ya mtu mwenyewe kutoka moyoni kabisa. Any external influence normally fails miserably.
Usiache unywaji maana kirikuu za sasa ni tamuu balaangoja nisave namba yako nikiamua kuacha kilabu nije
me siypo mlevi ni mnywajiUsiache unywaji maana kirikuu za sasa ni tamuu balaa
Ila kama ni ulevi acha
Mkuu nitafute dawa yangu ni lazima uache na utakuja adisiaNaomba msaada kwa anaefaham dawa ya kuacha pombe
Dawa ya kuacha pombe ni kuamua kuacha pombe kwa kutoitumia kabisa na kuwa na moyo wa kushinda tamaa ya kupenda ulevi.Naomba msaada kwa anaefaham dawa ya kuacha pombe
Hiyo dawa ipo inaitwa Naltrexone HCL (brand names Naltima/Nodict). Unaagiza online kutoka India
Mrudie Mungu.Ningependa kujua hio dawa pia.