Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Maisha ni kutegemeana maana unapokunywa unapelekea kiwanda kizalishe hapo kuna ajira kuabzia wa viwandani,wasambazaji,wauzaji na wahudumu.Watu wote wakiwa na mawazo kama yako hakuna kitachofanyika maana wanywaji wote wakihamia kununua hisa hata hisa zitakosa maana vilevile
 
Pesa ipo acha watu walewe huyo anayenunua anajiweza na pengine hata hizo hisa anazo kila mtu na bajeti yake katika starehe..mi ntamshaangaa yule anayelewa alfu nyumbani haachi hata hela ya chakula cha familia
Wapo wengi sana wa aina hii
 

Wewe usiekunywa una hisa ngapi CRDB?
 
Mkuu pombe inafaida sana...mimi kazi yangu ni ya kuhamishwahamishwa sasa huwa nikifikaga sehemu mpya yaani wiki moja tu nakua kama nimekaa mwaka maana nakua nshafahamiana na watu wote muhimu...na sehemu nilizowahi kukaa ukiniulizia tu unapata msaada fasta.. kazi yangu huwa rahisi mno sababu ya kukutana na wadau kwenye viti virefu.....maana nakua nshafahamiana na polisi (hapa nazungumzia mabosi zao), madaktari, masela tra, uhamiaji, takukuru, wakuu wa vyuo na mashule, mafundi, na hata malay.a japo wanakua hawana umuhimu kwangu
 
Wewe ambae haunywi pombe ushanunua hisa kiasi gani CRDB? kila kitu ni mipango tuu, wapo wengi wanaokunywa pombe na kimaisha huwakuti kabisa, wapo vizurii
Hao ndio wamejaa mitaani uku wamebaki tu na kauli yani miye ningekuwa wewe basi tu ningekuwa mbali una muuliza kwani miye na mabawa wewe kuwa miye tu ufike uko mbali
 
Ikitokea watanzania wote wakaacha kunywa pombe kabisa vipi hali ya uchumi wetu itakuwaje??
Hear urself! Unawaza uchumi wa nchi wakati wako unateketea? Alcohol is good but its dangerous to ur healthy and pocket!
 
Huwa tunajidanganya sana eti Bar tunabadilishana mawazo yenye tija!! hili sikubaliani nalo kabisa kabisa ni utetezi wa kitetea pombe ambayo haina faida
Haina faida kwako,mm.binafsi sioni.hasara ya pomne

So pambana na hala yako
 
Pombe inahasara zote unazozijua japa duniani
:socially -ugomvi,ku neglect mambo ya kijamii etc
:economically -hapo ndo mifano ipo ya kumwaga...ajali,wizi,kuuza mali kipuuzi etc
:spiritually -hapa hata ukiuliza watu kunabaadhi wameshindwa kuamka na kwenda kanisani kwakua walilala bar :
physically -kuna mijitu inatetemeka kama compressor kabla haijanywa
:mentally - hawa ndi wapo kbaoo ma psychosis
ILA ukiwaambia pombe mbaya utaskia umaskini wako tu..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Any way wanione watakaoshindwa kuacha Wenyewe, ila kuna watu wengi wapo addicted kuacha bila Mimi ni ndoto waje tu pm
 

Attachments

  • 1485697668174.png
    128.3 KB · Views: 45
  • 1485697711821.jpg
    68.7 KB · Views: 48
Shenzi kabisa na ulaaniwe kabisa
wewe hunywi pombe unatushauri
kama nani? Yaani niache castle lager ya baridi kabisa inatoa na kijasho kwa mbaaali aise tutake
radhi ukishakuwa mdau wa viti virefu kwanza unajuana na watu
wengi sana halafu ujue serikali yako inatutegemea sana wanywaji ila sema haioni mchango wetu kila mwaka lazima bia zipande kwanini? Umeniharibia siku yangu kabisa huo ushauri kaishauri familia yako eti hisa wewe unazo ngapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…