Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Sisi wa mnazi na chimpumu hatuachi, bei ni ndogo. Na ofa zipo kibao.
 
Usifananishe pombe na mambo ya kijinga.

Fyi
Windhoek ni sh 2,500.

Boondocks wapi huko windhock inauzwa bei hiyo wakati samki samaki ni 5,500. Fish Market ni 5,500 na papichulo ni 3,000. four ways 3,000. Sai sai ni 4,000, Shhoters ni 6,000 Jakis 3,000 Didis ni 3,000 Trinity 5,000
 
heshima kwako mkuu [emoji106]
 
we jamaa nakuelewa ujue [emoji23] [emoji23]
 
Usifananishe pombe na mambo ya kijinga.

Fyi
Windhoek ni sh 2,500.
Hizo.beer za kwenye.vyupa vya kijani nazo mnaita pombe mkuu??

Mwanaume simama na.kitu mchupa brown au jizee la upako

Hizo.castre lyt,ndovy,Heineken,windoloek

Tuachie wadada tu jamaaa

Piga lager au.shusha lusekelo mikono...
 
HIsaa ZA NINI AJE KUMJAMBISHA MUHINDII KSA ALAKIMBILI TIMU NNE AONE NDOTO YA...
 
Ifikie kipindi mtofautishe unywaji na ulevi....

By the way msiokunywa pombe mna hisa ngapi?
 
Habari wakuu..
nimefanikiwa kuacha pombe hapa karibuni lakini nimekua na tatizo la kutopata usingizi toka nilipoacha naombeni msaada nifanye nini kuondokana na hali hii
 
Ha ha ha ha ha, Haiwezekana wote wakaacha ni ngumu sana jombaa, Mimi nashauri kwa yule anayeweza kuacha aaache, na ninaamini kuna faida nyingi sana kwa anayeacha pombe kuliko hasara


Nakuambia nchi itasimama, walevi tunaisaidia sana nchi iende, na ndo maana tunalindwa sana na sheria tukiwa bar... Njoo kwenye mazingira yangu ya bar nikupasue kichwa uone kama nitashitakiwa....
 
Hongera mkuu kwa uamuzi wa thamani maishani.
Zaidi ya kufanya mazoezi, Jijengee utamaduni wa kusoma kitabu cha dini au chochote cha kujenga kabla ya kulala usingizi utakuja ukija usiuzuie uzime taa na simu ulale.

Vitu vinavyoondoa usingizi.
1:Chumba chenye mwanga. Hakikisha kuna giza la kutosha ili Homorne ya usingizi (Melatonin) itolewe ya kutosha maana ni inaathiliwa na mwanga. Hii inaenda mbali hadi kulala na simu, smartphone ule mwanga unaathiri usingizi.

Kuna kitabu naweza kukuPM ukipenda kinaelezea Historia ya Usingizi na mambo yote kuhusu usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…