Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wakuu naomba kujua jinsi ya kuludisha sura katika hali yake baada ya kuathiliwa na pombe
 
hebu weka picha kwanza tuone imekuathir kias gan uli tujue cha kukushaur utumie
 
Gongo huwa inaharibu sura pole, dawa ni kuacha na kujitahidi tu kula vizuri
 
Last edited:

Attachments

  • 1451857166818.jpg
    1451857166818.jpg
    35.5 KB · Views: 28
husika na mada tajwa hapo juu

leo nimemshuhudia mtu kanywa vikonyogani vidogo vitatu ndogo yake ya yule jamaa anatunisha misuli kwenye chupa(wanaviita vischana sijui) ndo mara ya kwanza halafu kwa sababu katapeliwa
jamaaa ameteseka sanaa alikua analia tu na hakua amekula kitu tangu asubuhi anatia huruma sana kila mda anasema anakufa ila tumemsaidia yupo vizuri sasa hivi nlikua namuelewa sana tu anavyojiskia

huyu jamaa amenikumbusha na mm kwa mara ya kwanza nilivyokunywa pombe,ilikua wine kipindi nipo boarding school siwezi sahau niliona kama deka inapaa nilitapika sanaa chumba kizima kilikua kinanuka pombe kwa kweli nilijuta na nikajiapiza sitokunywa tena,hangover yake ilinikaa kama siku mbili hivi mdomo nlikua nahisi kama una nuka wine mda wote hata nipige mswaki vipi,nikawa najihisi nanuka pombe masaa 24 nlijiskia vibaya sana nikajiapiza sitokaa ninywe pombe tena..tangu siku hiyo nikisikia harufu ya wine natamani kutapika..sikukoma

mara ya pili nilikunywa kilimanjaro nikatapika sana,nikajua haya mambo sio yangu niaachana nayo mpaka leo sijui hata bei ya bia..nashukuru mungu mwili wangu una react vibaya kwa pombe

najua kuna watu wanataka watoke huko na wengine wanataka waende ..tuanze na hawa waliotoka,kisa gani mlikutana nacho mpaka mkaacha,njia gani mlitumia kuacha
 
Nakumbuka miaka kadhaa kidogo nikiwa high school sister alikua anaolewa

Sasa ule uchungu nin sister anaenda kuchezea dushe mazima nlitupia sana safari sikumbuki ngapi ila nyingi mno

Hasira hasara ilibaki robo na mimi niolewe na sister zimia sana tapika mpaka chai mwisho nililazwa na drip la maji siku kadhaa nikaruhisiwa pombe sio chai
 
Huu uzi utawaleta walevi hapa

Ila kulewa rahaaa sana kuna siku unaeza kupiga hata safari saba bado kichani hausikii kitu ila kuna siku unapiga mbili tu unabebwa hapa pananichanganya sana
raha yake hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom