Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Inakuletea madhara?
Maisha mafupi haya kama unaicontrol wewe piga vyombo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuletea madhara?
Maisha mafupi haya kama unaicontrol wewe piga vyombo
imegoma hii hapa:
![]()
Hahahaa we dada utamponza mwenzio, unywe bia zangu buretuuuu, what do you expect?.ukikataa atafanyeje?
Tatzo unatumia pombe kali tumia windock na Heinekenimegoma hii hapa:
![]()
hahahahahahahahHuyu anafaa kuwa mke wa Mchungaji Tito
namalizia dash.... na yeye aliweHahahaa we dada utamponza mwenzio, unywe bia zangu buretuuuu, what do you expect?.
Jaribu wewe kunywa bia zamtu alafu ukatae maelekezo utaona atafanyaje.
Remember mkwere dada ukila vyawatu............................!.
na SavannahTatzo unatumia pombe kali tumia windock na Heineken
Wadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
![]()
Unanyweaga baa gani dear?
Ahsante sana
Mkuu unatumia ngano....Inakuletea madhara?
Maisha mafupi haya kama unaicontrol wewe piga vyombo
ehee! kufariki tena!!!!Gida tu na ukiacha unakufa.
kwani anakunywa bar za kihuni?Hahahaa we dada utamponza mwenzio, unywe bia zangu buretuuuu, what do you expect?.
Jaribu wewe kunywa bia zamtu alafu ukatae maelekezo utaona atafanyaje.
Remember mkwere dada ukila vyawatu............................!.
Ngano na grapesMkuu unatumia ngano....
Safari lager 5.5% Alc mkuu..... Safari moja huanzisha nyingine kweli kuna bia tamu kama hiiNa yenyewe ni aina ya kileo? inatengenezwa wapi? kileo chake ni asilimia ngapi? Ikok wenye chupa au kopo?😡😡
Pombe za wanaume hizo! hahhahahaaha mie siipendi saaana. Napenda pombe nyepesi nyepesi za kikeSafari lager 5.5% Alc mkuu..... Safari moja huanzisha nyingine kweli kuna bia tamu kama hii
Grapes gani unaikubali zaidi mkuu na mm nikaifanyie analysis leo....Ngono na grapes
Baa zote zinafaa kunywea pombe cha muhimu kuwe na choo kizuri na kisafi na pia iwe na usalama na parkingkwani anakunywa bar za kihuni?