Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
mkuu sitamani kurudi tena kwenye pombe nataka nivumilie nione itakuwaje,wakina dr riwa wako wapi?
dk riwa huwa anajibu wanawake................ au kuhusu magonjwa ya wanawake tu.............. haya mambo ya ya mitungi wala usihangaike kucheki naye..................... we hujamjua nado??.................... tia akili kichwani banaaa.....................
kuhusu hayo magonjwa nyemelezi................... yanasababishwa na ukosefu wa kilevi mwilini (UKIMWI)................... so itabidi nikuanzishie dozi ya amarura, redds and value(ARVs)............ teh teh..................
but umejitahidi sana mkuu, .......................tangu jan 1 hujaonja!.............. hongera sana mkuu!................ kumbe kweli maisha bora kwa kila mtz yanawezekana!!..................