Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

mkuu sitamani kurudi tena kwenye pombe nataka nivumilie nione itakuwaje,wakina dr riwa wako wapi?

dk riwa huwa anajibu wanawake................ au kuhusu magonjwa ya wanawake tu.............. haya mambo ya ya mitungi wala usihangaike kucheki naye..................... we hujamjua nado??.................... tia akili kichwani banaaa.....................

kuhusu hayo magonjwa nyemelezi................... yanasababishwa na ukosefu wa kilevi mwilini (UKIMWI)................... so itabidi nikuanzishie dozi ya amarura, redds and value(ARVs)............ teh teh..................

but umejitahidi sana mkuu, .......................tangu jan 1 hujaonja!.............. hongera sana mkuu!................ kumbe kweli maisha bora kwa kila mtz yanawezekana!!..................
 
mkuu sitamani kurudi tena kwenye pombe nataka nivumilie nione itakuwaje,wakina dr riwa wako wapi?

Vp umefukuzwa kazi, kwamba chanzo cha mapato kimekufa(jokes)

penye nia pana njia mkuu, shikiria msimamo wako, hiyo ni mitihani tu.
 
Mimi nilikosa ngono kwa wiki moja nikawa napata kizunguzungu.
 
Kwa ulevi wa pombe au sigara uliopindukia,mara nyingi unashauriwa kuacha kidogo kidogo. Vinginevyo unaweza ukapata madhara makubwa ikiwa pamoja na kifo cha ghafla(nina ushuhuda):
Kwa mfano kama ulikuwa unakunywa bia 10 kwa siku unaanza kwa kunywa 5 kisha 3,2,1 kadri siku zinavyojongea.
Kisha 1 kwa wiki,moja kwa mwezi. Automatically utajikuta umeacha bila mwili kuonyesha mabadiliko yoyote ya kiafya.
Sigara pia vilevile.
 
mimi pia nina tatizo kama lako,

nikiacha pombe kwa siku 3

lazima niugue sijui kwa nini

lakini nikinywa hota bila kutumia

dawa yoyote napona hii ni nini?
 
Utakuwa na immunocompromesed tumia supprement pia tumia asali na mdalasini badala ya pombe ili kuboost immunity
 
Habari wa JF,

Wana JF hakika mpaka nafika hatua hii ya kuomba msaada kwenu basi kweli nipo kwenye hard time,nimekuwa ni mtumiaji wa pombe kwa muda mrefu sasa yapata hata miaka 6 au saba,kiukweli tangu nimeanza kunywa faida zaidi ya maumivu,sasa imefikia mahali hata mahusiano yangu na mkewe yamepotea kabisa,naweza nikakaa hata wiki mbili au mwezi nisinywe lakini nikisema ninywe angalau hata chupa moja matokeo yake ni kwamba najikuta nimekunywa mpaka nalewa kabisa,(yaani kama kunakitu kinakuwa kinaniambia ongez tena..),najikuta hata ile pesa niliyokuwa nimeiweka kufanyia mambo mengi inaishia kwenye pombe,kweli ndugu zangu naumia sana na hii hali,nimemaliza sana hela kwa pombe,inafika mahali najutia unywaji wangu huu wa pombe,nahitaji msaada wenu wapendwa nifanyaje ili niepukane kabisa na unywaji wa pombe,inafika mahali nataka niende hata nikafanyiwe maombi maalum kanisani.Nifanyaje ndugu zangu?
 
Pole mkuu,
Kuacha matumizi ya pombe ni HIARI YAKO TU/UAMUZI WAKO TU.
Tu simamia nia yako kwa Dhati

Kama sio unywaji wa kawaida , basi hakuna tatizo kubwa na gumu la kumshinda Mungu

Jikabidhi kwake ukimaanisha , nae atakua jibu la Matatizo yako YOTER
 
Thanks Mgeni kwa ushauri wako,mm nasema kwa kweli nakunywa kupita kiasi kwa kweli
 
Tafuta kikundi kinaitwa Alcoholics Anonymous ni kwa waliozidiwa na pombe

ndo kinahusika na nini?? maana hata mimi hili tatizo la mtoa mada nnalo na nahisi nimecheba kwa kuzitundika hizo pombe..mbaka ufanisi wa kazi unapungua..kiko wapi hicho kikundi na onjective yake ni nini..
 
Nimefanikiwa kuacha ulabu mwaka wa nne huu,labda nitoe uzoefu wangu (sio formula please japokuwa ilinisaidia!!!!)
Mwanzoni nilikuwa najidanganya kuacha pombe ghafla lakini baada ya muda narudia kwa ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya

Hatua nilizochukua ni kupunguza idadi ya bia hatua kwa hatua ni process inayoweza kukuchukua hata mwaka mmoja au miwili kama unahitaji bia nane ndo ulewe jizoeshe kunywa 7 hadi uzoee then shuka 6,5,4,3 hadi mbili baki hapo kwenye mbili kwa muda then anza kupiga mara moja moja sana kwa mfano mara moja baada ya wiki mbili,mara moja kwa mwezi kuanzia hapo unaweza kuacha kabisa na jitahidi sana kukimbia vikao vya pombe
 
Tafuta kanisa lolote linalohubili wokovu na kuna ubatizo wa maji mengi OKOKA umfanye Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako. Yohana 1:12
 
yaani hii thread imenichukiza! mi natafuta kampani ya kwenda nayo kwenye ulabu wengine wanataka kuacha!aaaagrrr!!
tukirudi kwenye point
1.kwanza wataalamu wanasema alcohol dependence inaweza kujitokeza kwa njia nne wewe unaonekana una loss of control ukianza kunywa una shindwa jizuia ambayo ni afadhali kuliko hizo zilizobaki
2.wachina walikuwa wanatumia dawa moja inaitwa disulfiram (kama sijakosea ) hii akipewa mnywa pombe halafu akienda kunywa anapatwa na hali mbaya mno kiasi kwamba harudii pombe tena, effects zake ni kama mtu aliyekunywa pombe na metronidazole (fragyl) jaribu kwenda kliniki za kichina labda wana mbinu zingine pia
3. pia angalia sababu ambazo hukufanya unywe na tafuta njia mbadala, ukumbuke pia kuna genetic factors zinachangia
NOTE kwa wanywa pombe wote ukipata hangover kunywa maji mengi maana kidneys huwa zimekosa maji ya kutosha kuondoa pombe, kutibu hangover kwa pombe utapata only temporary relief ''onyo: kunyweni kwa uwajibikaji''
 
kunjwa vidonge vya uzazi wa mpango hutaacha moja kwa moja
 
Back
Top Bottom