Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakunywa pombe za kiwandani au za kienyeji? Na halafu kwa nini neno pombe umeliandika kwa herufi kubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama hiyo njia inaweza kufanya kazi kwa kila mtu,kuna mmoja nafanya naye kazi nilipewa stori kuwa jamaa wanampitia kila akiwa amelewa,na haachi ulevi,na mkewe keshawahi hata kuja ofisini kulalamika kuwa mume wake anamtia aibu mtaani...
Kwa uzoefu tu ni kwamba kadiri mtakavyokuwa mnajaribu kumsaidia kuhusu hilo jambo ndivyo anavyozidi kuzama ndani yake zaidi.Ni msikivu sana na mwenye kuonesha kujuta kila tukiongea, mpaka kufikia kusema kabisa hatorudia.
Ajabu akipata pesa tu, ni mpaka iishe ndo majuto huanza tena, hata iwe sh ngapi atahakikisha mpaka inakwisha ndo ataonekana nyumbani.
Alikuwa keshapiga hatua kubwa sana kimaisha ila POMBE imeharibu na inazidi kuharibu maisha yake.
Sijui tumsaidie vipi tena,
Kuna naibu waziri mmoja kutoka kanda ya ziwa. Nayeye huyu atafutiwe dawa maana akiachwa aendeleze beer atakuja kuiaibisha JMT.
Anapenda pombe kuliko wanawake
sasa chanzo si anapenda kunywa pombe mkuuPole sana kiongozi...binafsi sidhani kama Luna dawa ulevi. Nachowashauri angalie chanzo cha ulevi wake ni jambo gani kisha mpambane na hicho chanzo.
Pia ombeni kwa ajili yake.
Sent using Jamii Forums mobile app