Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Jr si umshauri dogo tu hapa hapa japo kwa ufupi kuliko kumhamisha kwenda kwenye uzi wako?
Unywaji wa kupindukiaHuu Uzi utaniharibia siku ngoja niondoke zangu
Nani alikwambia pombe ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhqhqhqhqhaa mkuu subir kiu ije utajua kama umeacha au bado hizo dawa uongo tu..dawa ya kuacha pombe ni kuikataa toka moyoni mwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuikataa wewe peke yako toka moyoni mwako ni uongo. Kuacha mwaka sio kitu, ngojea utakapoirudia utalamba glass. Dawa ni kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wako tu. Utaacha pombe, sigara, bhangi na uzinzi wote.Hahahhqhqhqhqhaa mkuu subir kiu ije utajua kama umeacha au bado hizo dawa uongo tu..dawa ya kuacha pombe ni kuikataa toka moyoni mwako
Sent using Jamii Forums mobile app
NikwelNa kuikataa wewe peke yako toka moyoni mwako ni uongo. Kuacha mwaka sio kitu, ngojea utakapoirudia utalamba glass. Dawa ni kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wako tu. Utaacha pombe, sigara, bhangi na uzinzi wote.
Neno la sema; Mtu akiwa ndani ya Yesu, ya kale yamepita na Tazama yamekuwa mapya. Unakuwa kiumbe kipya.