Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Mi nimependa tu uandishi wako mkuu. Yaani umeandika sentensi moja changamano tata maridadi sana. Naituma NECTA ili mwaka kesho kidato cha nne wapambane nayo kwenye mtihani [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Pombe kwa maana ya alcoholism ni uraibu kama ulivyo uraibu mwingine (mf. kokeini, kubeti, CHAPUTA); na kujitoa inataka juhudi za makusudi, dhamira imara na maombi.

Nilikuwa napiga bia vibaya sana na bila bia nilikuwa silali hiyo siku lakini huu ni karibu mwaka wa tano sasa sijazigusa. Mimi nilipata muujiza baada ya rafiki yangu kunikokota kwenda kwenye Men's Spiritual Retreat porini huko kanisani kwao.

Na nilikwenda na bia za kutosha kunitosha wikendi nzima. Siku ya pili tu kwenye retreat usiku kwenye maombi nikasikia kabisa sauti inaniambia "kuanzia leo hutakunywa pombe tena". Usiku ule ule nilikwenda kimya kimya kwenye gari langu na kutupa bia zote nilizokuwa nazo (Dogfish 90). Na kweli kuanzia siku hiyo hamu ikakata mazima...

Ukiamua kuacha inawezekana !!!
 
Kama umeanza kujiona kuwa hiyo hali ya ulevi ni tatizo kwako basi huo ni Mwanzo wa kuondokana na hiyo tabia mbaya!

Soma Neno la Mungu, mwombe Mwenyezi Mungu akusaidie uichukie pombe kabisa .

Waone watumishi wa Mungu viongozi wa dini pata nafasi ya kuongea nao, Omba appointment waelezee watakusaidia.

Utafanukiwa kuacha Mungu atakurehemu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh we jamaa iyo mix yenu noma sana K-vant na serenget light, k-vant na eagle 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Habar wakuu, hatimaye leo nimepata dawa yakuacha pombe, nimekunywa nmetapika sana, mnaweza nishauli kitu ?
Asantn
IMG_20200213_203309_283.jpeg
IMG_20200213_203318_013.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhqhqhqhqhaa mkuu subir kiu ije utajua kama umeacha au bado hizo dawa uongo tu..dawa ya kuacha pombe ni kuikataa toka moyoni mwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuikataa wewe peke yako toka moyoni mwako ni uongo. Kuacha mwaka sio kitu, ngojea utakapoirudia utalamba glass. Dawa ni kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wako tu. Utaacha pombe, sigara, bhangi na uzinzi wote.
Neno la sema; Mtu akiwa ndani ya Yesu, ya kale yamepita na Tazama yamekuwa mapya. Unakuwa kiumbe kipya.
 
Na kuikataa wewe peke yako toka moyoni mwako ni uongo. Kuacha mwaka sio kitu, ngojea utakapoirudia utalamba glass. Dawa ni kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wako tu. Utaacha pombe, sigara, bhangi na uzinzi wote.
Neno la sema; Mtu akiwa ndani ya Yesu, ya kale yamepita na Tazama yamekuwa mapya. Unakuwa kiumbe kipya.
Nikwel


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom