Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Awali ya yote, anakubali kuwa pombe ni tatizo kwake na anayo nia ya dhati kuacha kabisa? Maana kama ni nyinyi ndio mnamtaka aache na yeye hana nia hiyo, itakuwa kama kutwanga maji kwenye kiuri.
 
Piga hio kitu kwa wingi,kiu ya pombe itakata yenyewe.
EpTNEePUcAEV9AB.jpg
 
Kama upo Songea Mjini,. Nenda ndulu clinic, anayo dawa ya kuacha pombe.

Hutaitamani tena kabisaaa.
 
Habari za leo wakuu,
Najua humu kuna baadhi yenu mnajiuliza swali kama langu.
Ni dawa gani unaweza kutumia ili kuacha pombe kabisa.
Mpokee Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, yaani UOKOKE. Nakuhakikishia kiu ya pombe itakata mara moja, na utakuwa ushuhuda kwa wengine.
 
Pole ndugu; Jambo la msingi nenda hospital ukaonane na madactari wa ushauri nasaa unaweza acha pombe au kupunguza Kwa kiwango kikubwa.
 
Dawa ya kuacha pombe ni kukosa pesa... Ila ukiwa na pesa akili itawaza kunywa beer
 
Habari za leo wakuu,
Najua humu kuna baadhi yenu mnajiuliza swali kama langu.
Ni dawa gani unaweza kutumia ili kuacha pombe kabisa.
He mkemia wa kubadirisha CO2 kuwa Diesel na Petrol wauliza hili swali kweli?!
 
He mkemia wa kubadirisha CO2 kuwa Diesel na Petrol wauliza hili swali kweli?!
Ndio nauliza kwasababu dawa za binadamu sio taaluma yangu. Watu wa pharmacy na medicine ndio watakuwa na majibu. Kwasababu wao ndio wanaelewa vizuri reaction ambazo humfanya mtu kusikia kiu ya pombe. Hivyo watakua na majibu tu.
 
Asante kwa jibu lako murua mkuu. Nilijua utapanic ili nipime busara zako relating to your profession.
 
Back
Top Bottom