Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Jamani ee kama kuna mtu humu anaijua dawa ya kuacha pombe naomba anisaidie pliz! Hata ushauri ni sawa tu.

Mfarisayo kwanza pole sana na hngera sana kw akulona hilo. sas mii nikushauri hivi weka nia kama vile mtu atiavyonia kwa kufunga au kusali, kisha iambie nafsi yako hutakuwa mtumwa wa nafsi bali nafsi yako na tamaa zako zitawaliwe na utashi wako. ukishafanya hivyo toka na wenzako mkiwa bar wao wakiagiza ba wewe agiza maji ya kunywa. ukiweza fanya hivyo for a month basi uatakuwa umeweza. niko very serious, sema na nafsi yako kwanza kisha akili yako ndo itawale nafsi na tamaa zako.
 
Thanks much gfsonwin, ki ukweli pombe sio kitu kizuri ndugu yangu ngoja nijitahidi kufuata ushauri wako mkuu.
 
Thanks much gfsonwin, ki ukweli pombe sio kitu kizuri ndugu yangu ngoja nijitahidi kufuata ushauri wako mkuu.

ni kweli kabisa lakini yakupasa ujue kuwa siyo kitu rahisi kuacha tabia uliyoizoea, sasausife moyo weka nia ya dhati huku ukimwomba mungu akusaidie. najua utafanikiwa tu.
 
Vaa ule mtindo mpya wa KK, tembelea mitaa ya uwanja wa fisi, kunywa sana mpaka uhakikishe unadondoka kifudifudi, unaacha wenye uchu wakufanye mdondo, hotorudia tena pombe, labda uone raha.
 
Katika miji mikubwa kulikuwa na chama kiliitwa Alcoholics Anonymous - sijui kama bado kipo. Jaribu kuulizia ukiweza ujiunge.
 
Dar es salaam na Arusha kuna chama kinaitwa Alcoholics Anonymous. Kama uko katika moja ya miji hiyo waweza kujiunga itakusaidia.
 
Nimeanza kunywa long siku nyingi sana sasa imefika time hata kwenye vpindi chuoni nakuwa siingii, siwezi kumaliza cku bila kunywa labda niwe mgonjwa kama leo.@ Kaunga.
 
Kuacha pombe ni ngumu sana lakini inawezekana. Unatakiwa uwe na will power ya hali ya juu.

Pia unatakiwa uwe na watu wa karibu ambao watakusaidia. Kwa hiyo ni lazima uitangaze kwao nia yako hiyo na uwaombe wakusaidie.

Tafuta activity itakayo kupeleka mbali na matamanio ya pombe. GOOD LUCK.
 
Kunywa pombe kidogo changanya na klorokwini utaacha pombe moja kwa moja utakuwa zako ndani ya futi 6 chini ardhi fanya hivyo mkuu.
 
Vaa ule mtindo mpya wa KK, tembelea mitaa ya uwanja wa fisi, kunywa sana mpaka uhakikishe unadondoka kifudifudi, unaacha wenye uchu wakufanye mdondo, hotorudia tena pombe, labda uone raha.

Ni lazima uchangie Ribosome?
 
Mfarisayo kwanza pole sana na hngera sana kw akulona hilo. sas mii nikushauri hivi weka nia kama vile mtu atiavyonia kwa kufunga au kusali, kisha iambie nafsi yako hutakuwa mtumwa wa nafsi bali nafsi yako na tamaa zako zitawaliwe na utashi wako. ukishafanya hivyo toka na wenzako mkiwa bar wao wakiagiza ba wewe agiza maji ya kunywa. ukiweza fanya hivyo for a month basi uatakuwa umeweza. niko very serious, sema na nafsi yako kwanza kisha akili yako ndo itawale nafsi na tamaa zako.

Yaani hapa umeshauri pamoja nami nilitumia hii njia nikafanikiwa cha kuongezea hapo muachaji awe na nia ya dhati ya kutokunywa kama vile binadamu atambuavyo mavi hayaliwi.
 
Kuomba ushauri inaonyesha ujasiri wako kutaka kutokona na janga ulilonalo. Kama walivyosema waliotangulia weka imani kwa Mungu na omba akusaidie, waambie rafiki zako nia yako na waombe wafahamu lengo lako na matatizo yanayokukabili. Tafuta njia nyingine za kupoteza wakati - kama gym , kuona filamu nyumbani na family / rafiki ambao hawanywi mbele yako nk . Weka nia utafanikiwa tu
 
Mkuu Percival haya nimateso! hadi muda mwingine najioneaga huruma yani, ila ntajitahidi sana kufuata ushauri wenu ndugu zangu najua ntaweza tu.
 
Back
Top Bottom