Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani ee kama kuna mtu humu anaijua dawa ya kuacha pombe naomba anisaidie pliz! Hata ushauri ni sawa tu.
Thanks much gfsonwin, ki ukweli pombe sio kitu kizuri ndugu yangu ngoja nijitahidi kufuata ushauri wako mkuu.
Thanks foundation! Ila nikifanikiwa ntamshukuru sana Mungu.
Vaa ule mtindo mpya wa KK, tembelea mitaa ya uwanja wa fisi, kunywa sana mpaka uhakikishe unadondoka kifudifudi, unaacha wenye uchu wakufanye mdondo, hotorudia tena pombe, labda uone raha.
Mfarisayo kwanza pole sana na hngera sana kw akulona hilo. sas mii nikushauri hivi weka nia kama vile mtu atiavyonia kwa kufunga au kusali, kisha iambie nafsi yako hutakuwa mtumwa wa nafsi bali nafsi yako na tamaa zako zitawaliwe na utashi wako. ukishafanya hivyo toka na wenzako mkiwa bar wao wakiagiza ba wewe agiza maji ya kunywa. ukiweza fanya hivyo for a month basi uatakuwa umeweza. niko very serious, sema na nafsi yako kwanza kisha akili yako ndo itawale nafsi na tamaa zako.