Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,089
Tatizo la bia kila unapokunywa ndio inazidi kuwa tamu hivyo suala la kupunguza kwa kweli linakuwa gumu na ni ngumu sana kupata kupunguza kunywa bia,nimeoa nha shem wako anakunywa ila si sana tatu zinamtosha.mimi niliacha, ni uamuzi tu! Kwani anakunywa ngapi? Unakuwa na kundi wakati wa kilaji? Unatakiwa kupunguza kwa dozi kama ni mnywaji wa kila siku. Kama ulikuwa unapiga 10 endelea kwa wiki aafu punguza ziwe 7. Baada ya wk 2 unapunguza kuwa 4 unamaintain kwa mwezi m1. Ukitoka hapo ni mbili kwa mwezi then moja mpaka utaacha. Inahitaji uvumilivu sana! Umeoa lakini? Shem anakunywa? Kama hanywi mpe kazi hiyo ataiweza kama ni mwanamke na siyo msichana mkubwa. Mimi tangu niache ni miaka mitatu sasa na huwa nakwenda na jamaa zangu bar kama kuna mtoko, wao beer mie malta kama kawa!
Nyalotsi hongera kwa kuweza kuacha na naomba ututupie faida za kuacha pombe nadhani itatusaidia sana sisi ambao bado tupo upande huu wa wanywaji wa vilevi.