Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Unapoamua kuacha ghafla:
1. Fanya nazoezi ya viungo vya kutosha
2. Kunywa maji ya kutosha
3. Kunywa maziwa ya kutosha
4. Kula mboga za majani na matunda vya kutosha

Hii itasaidia sumu kutoka kwa haraka bila kukuletea maluweluwe mengine. Kama utahitaji maelezo zaidi waweza kuni PM.
 
labda madhara mengine ni zile pesa, ulizokuwa unatumia kunywa bar na kuzikojoa huko huko kwasasa zitakuwa zikikusaidia kufanya shughuri za kimaendeleo
 
1.Kichwa kuuma
2.Kama ulikuwa ukinywa ndio unaenda kukutana na shemeji ukiacha siku za mwanzoni itakuwa inakugomea kusimama au inasimama na kuisha nguvu ukiwa katikati ya mchezo.
3.Kutopata usingizi wa kutosha au kutopata kabisa
4.Kutopata choo vizuri hii ni siku za mwanzoni baada ya kuacha
5.Kama alivyosema Kiteiteiukipita sehemu yenye Baa hasa uliyoizoea lazima utakuwa unapata mshtuko flani na kuhisi kama waliomo ndani wanakuzungumzia kuhusu kutokunywa kwako.
 
Last edited by a moderator:
mimi nikishika glasi natetemeka, jana nimejaribu kunywa soda aisee niliona kama asali, ila mungu atanisaidia ntaacha na kuwa wake. naanza kuwakwepa wale marafiki zangu wanaokula monde kila siku. ila sasa kiimoto ndo lazima kila siku kishushio ndo balaa, maana kina pacha wake.
 
Unapoamua kuacha ghafla:
1. Fanya nazoezi ya viungo vya kutosha
2. Kunywa maji ya kutosha
3. Kunywa maziwa ya kutosha
4. Kula mboga za majani na matunda vya kutosha

Hii itasaidia sumu kutoka kwa haraka bila kukuletea maluweluwe mengine. Kama utahitaji maelezo zaidi waweza kuni PM.

Mkuu funguka hapa hapa tufaidi wengi!!
 
Mimi sijaacha na sina hamu ya kula chakula kabisa,je kuna uhusiano kweli jamani.msaada wakuu tafadhali
 
Uliona wapi kichaa kinapona???waweza kupunguza au kuacha kwa muda but sio moja kwa moja..KICHAA HAKIPONI NDG
 
Mie mwenzenu ilikuwa ikipita siku sijanywa basi usiku ni balaa, Yaani ndoto za ajabuajabu, mara naongoza majeshi kuwapiga m23, mara maninja kama mia nne hivi wamenizingira napambana nao usiku kucha, Mara naongoza magari barabarani, Mara najenga maghorofa yanaporomoka..mara niko kizimbani, yaani ilimradi taabu tupu.. Baadae niliamua kukomaa wiki mbili bila kugusa saivi shwari, nikiamua leo ninywe au nisinywe shwari tu. Ila fanya mazoezi na maji kunywa kwa wingi.
 
Ukiacha pombe utakunywa nini? Hapa naongeza safari lager ya 3. Hujasoma uzuri wa bia? Kuna thread humu ya faida ya lager. Siachi hadi Daktari aseme basi.
 
kuna rafiki yangu alienda likizo kanyweshwa dawa ya kuacha pombe ila amekua kama zoba make kampani yake yote wanagonga yaani utamhurumia ila kuacha ni vizuri lakini siyo ghafla mm mwenyewe nafanya mazoezi ya kuacha nina wiki saiz tatizo langu mm nikinywa tu lazima nitafute mwanamke ndo maana nimeamua kujipa mazoezi ya kuacha.
 
Back
Top Bottom