Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hakuna madhara yoyote....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumemuweka vikao vingi lakini haonekani kubadilika mkuu,
Kuna mtu kamwaga pombe yake..
ulishawai kuifanyia majaribio au umesikia mkuu
Unapoamua kuacha ghafla:
1. Fanya nazoezi ya viungo vya kutosha
2. Kunywa maji ya kutosha
3. Kunywa maziwa ya kutosha
4. Kula mboga za majani na matunda vya kutosha
Hii itasaidia sumu kutoka kwa haraka bila kukuletea maluweluwe mengine. Kama utahitaji maelezo zaidi waweza kuni PM.
unalitafuta balaa,unakunywa halafu huli..hilo ini si unalimaliza?Mimi sijaacha na sina hamu ya kula chakula kabisa,je kuna uhusiano kweli jamani.msaada wakuu tafadhali
Mimi sijaacha na sina hamu ya kula chakula kabisa,je kuna uhusiano kweli jamani.msaada wakuu tafadhali