Njia za kupata VISA ya Portugal ni zipi?

Yaani Ureno au Portugal, ni maskini sana.Hebu nikupe hii stori labda mlikuwa hamjui.

Rai wa kireno walipokuwa wanakuja kwenye makoloni yao kwa ajili ya kufanya biashara za pembe za ndovu,madini, mbao n.k .Walikuwa wanawaowa wanawake wa inchi husika, na ni wazinsi sana, walevi na wapenda starehe.
Walikuwa wanamkakati wa kukiteketeza kizazi cha wenyeji kwa kutumia njia ya kuwazalisha sana.Yaani mlevi wa kireno alikuwa haoni tabu kumkamata mama au binti wa kiafrika na kufanya naye mapenzi popote pale, kukageuka na kuwa na makaradi wengi sana, kuanzia vijijini mpaka mijini.

Sasa wanaume wakajikuta wanafamilia zaidi ya moja, yana Ureno ana mke na watoto, na inchi husika ana mke na watoto, na ni waumini wazuri sana wa kanisa katoliki.Kulipotokea kuporomoka kiuchumu kwa Ureno, zikajikuta zile familia zilizoko Ureno zinaomba Msaada kwa ndugu zao walioko afrika, Maana hakuna ajila, maisha ni magumu
 
Ureno kufanya nini ? Kuna fursa gani Huko? Miaka ya karibuni nilikuw jijini Porto nilikaa Siku 5 kwenye semina
Nili observé maisha sio rahisi kwa Hustler,maisha ni magumu alafu vina roho mbaya
Nb
Nina visa ya Schengen naingia nchi zaidi ya 25 without applying a vissa
 
Naam Roman Catholic kwa ureno ni 90%
I was Porto two years ago
 
Ureno kufanya nini ? Kuna fursa gani Huko? Miaka ya karibuni nilikuw jijini Porto nilikaa Siku 5 kwenye semina
Nili observé maisha sio rahisi kwa Hustler,maisha ni magumu alafu vina roho mbaya
Nb
Nina visa ya Schengen naingia nchi zaidi ya 25 without applying a vissa
Kaka huku siku hizi watu hawana majibu kwa maswali makini. Nadhani ka unaweza ukaenda uhamiaji au kuwasiliana nao itakuwa vizuri. Nimeshangaa sana mtu hajui unaenda Ureno kufanya nini ila tayari kapanga sehemu nyingine unayoweza kwenda.
Ila kingine mkuu jifunze kutafuta taarifa sahihi kutoka vyanzo sahihi siku hizi vijana wanauliza tu kitu chochote hata kama pa kupata taarifa sahihi wanapajua. JF sio chanzo cha kuaminika kama mnavyodhani. Ni hayo tu.
 
Yaani Ureno au Portugal, ni maskini sana.Hebu nikupe hii stori labda mlikuwa hamjui.

Rai wa kireno walipokuwa wanakuja kwenye makoloni yao kwa ajili ya kufanya biashara za pembe za ndovu,madini, mbao n.k .Walikuwa wanawaowa wanawake wa inchi husika, na ni wazinsi sana, walevi na wapenda starehe.
Walikuwa wanamkakati wa kukiteketeza kizazi cha wenyeji kwa kutumia njia ya kuwazalisha sana.Yaani mlevi wa kireno alikuwa haoni tabu kumkamata mama au binti wa kiafrika na kufanya naye mapenzi popote pale, kukageuka na kuwa na makaradi wengi sana, kuanzia vijijini mpaka mijini.

Sasa wanaume wakajikuta wanafamilia zaidi ya moja, yana Ureno ana mke na watoto, na inchi husika ana mke na watoto, na ni waumini wazuri sana wa kanisa katoliki.Kulipotokea kuporomoka kiuchumu kwa Ureno, zikajikuta zile familia zilizoko Ureno zinaomba Msaada kwa ndugu zao walioko afrika, Maana hakuna ajila, maisha ni magumu
Mkuu ulichoandika ni historia lakini je kinahusika nini mada hii?

Tuache ujuaji. Mtu anaulizia namna ya kupata visa wewe unaanza kumuambia Ureno ni masikini.

Dah
 
Mkuu vipi uswizi kwa mtu ambaye amewahi kuishi Uingereza
Ureno kufanya nini ? Kuna fursa gani Huko? Miaka ya karibuni nilikuw jijini Porto nilikaa Siku 5 kwenye semina
Nili observé maisha sio rahisi kwa Hustler,maisha ni magumu alafu vina roho mbaya
Nb
Nina visa ya Schengen naingia nchi zaidi ya 25 without applying a vissa
 
Huyu kasikia stori kijiweni kataka kujilipua. nafuraha sana mnampa majibu mazuri. Kule kuna mademu tu hakuna jipya
 
Back
Top Bottom