Njia za kupata VISA ya Portugal ni zipi?

Njia za kupata VISA ya Portugal ni zipi?

Mkuu ulichoandika ni historia lakini je kinahusika nini mada hii?

Tuache ujuaji. Mtu anaulizia namna ya kupata visa wewe unaanza kumuambia Ureno ni masikini.

Dah
Ni tahadhari kama unajua kitu ambacho kitamsaidia MTU hakuna ubaya kumpa brief
 
Huyu kasikia stori kijiweni kataka kujilipua. nafuraha sana mnampa majibu mazuri. Kule kuna mademu tu hakuna jipya
Ureno ipo kwenye Shenghen viza, kwahiyo kama mtu ni rahisi kwake kuingilia Ureno hamna mbaya, ile Sheghen viza una kwenda nchi kibao za ulaya kasoro Uingereza tu ambao wana viza ya kwao UK Viza.
 
Unaenda kutafutana nn Ureno? Moja ya nchi masikini sana barani Ulaya...bora uende Sauz!.
Ureno kufanya nini ? Kuna fursa gani Huko? Miaka ya karibuni nilikuw jijini Porto nilikaa Siku 5 kwenye semina
Nili observé maisha sio rahisi kwa Hustler,maisha ni magumu alafu vina roho mbaya
Nb
Nina visa ya Schengen naingia nchi zaidi ya 25 without applying a vissa
Fursa inategemea na wewe unaangalia upande gani wa jambo.

Moja ya fursa iliyopo Portugal ni kwa remote workers.
 
Unaenda kutafutana nn Ureno? Moja ya nchi masikini sana barani Ulaya...bora uende Sauz!.
Labda hujui ulichokiandika, Ureno IPO kwenye European Union na pia Ureno IPO kwenye Shenghen viza, jaribu kuficha ujinga wako, ukiingia Ureno upo huru kwenda German, Italy, France, Belgium, Austria, Spain na nchi zote za Shengen
 
Fursa inategemea na wewe unaangalia upande gani wa jambo.

Moja ya fursa iliyopo Portugal ni kwa remote workers.
Mkuu fuata akili yako inavyokutuma usisikilize story za watu ambao hawajawahi kuvuka hata mpaka wa Tanzania, hakuna nchi yoyote hapa Afrika yenye maisha au kipato kizuri kushinda Portugal.
 
Labda hujui ulichokiandika, Ureno IPO kwenye European Union na pia Ureno IPO kwenye Shenghen viza, jaribu kuficha ujinga wako, ukiingia Ureno upo huru kwenda German, Italy, France, Belgium, Austria, Spain na nchi zote za Shengen
Mkuu Matola humu kuna watu wanaandika story walizopata vijiweni wakiwa wanakunywa kahawa na kumchambua Mayele wasikusumbue.
 
Habari wana-JF. Ningependa kufahamu kwa nchi ambazo hazina balozi hapa nchini (Portugal) ni njia zipi za kufuata kufanya application hasa kwa Visa ambazo inakubidi application ufanyie nchini kwako.

Retirement Visa / Portugal D7 Visa.
Unapitia ubalozi wao wa Mozambique au South Africa, unajaza online kisha utatuma passport kwa DHL.

Ila wana ucheleweshwaji mwingi wanaweza kukaa na passport yako hata mwezi hivyo kama una uwezo bora uende kati ya nchi hizo personally
 
Back
Top Bottom