Yaani Ureno au Portugal, ni maskini sana.Hebu nikupe hii stori labda mlikuwa hamjui.
Rai wa kireno walipokuwa wanakuja kwenye makoloni yao kwa ajili ya kufanya biashara za pembe za ndovu,madini, mbao n.k .Walikuwa wanawaowa wanawake wa inchi husika, na ni wazinsi sana, walevi na wapenda starehe.
Walikuwa wanamkakati wa kukiteketeza kizazi cha wenyeji kwa kutumia njia ya kuwazalisha sana.Yaani mlevi wa kireno alikuwa haoni tabu kumkamata mama au binti wa kiafrika na kufanya naye mapenzi popote pale, kukageuka na kuwa na makaradi wengi sana, kuanzia vijijini mpaka mijini.
Sasa wanaume wakajikuta wanafamilia zaidi ya moja, yana Ureno ana mke na watoto, na inchi husika ana mke na watoto, na ni waumini wazuri sana wa kanisa katoliki.Kulipotokea kuporomoka kiuchumu kwa Ureno, zikajikuta zile familia zilizoko Ureno zinaomba Msaada kwa ndugu zao walioko afrika, Maana hakuna ajila, maisha ni magumu